MAJUTO: Nimejenga kimya kimya Mume wangu kajua hanishirikishi tena mambo yake

Mwanamke mpumbavu huharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe,mwenzako anakushirikisha Kila kitu, adi gari anakununulia,yaani hapo ni mwendo wa kuishi mme-mke jina basi, Ila Ile reality Tena haipo, umelikoroga mwenyewe so linywe mwenyewe, ngumu kuirudisha Ile moyo wake yaani ni ngumu yaani hapo hesabu umeshachana mkeka. Namie Niko ivyo yaani ukizingua ndio imetoka, watu hamjasoma equilibrium or principles of equilibrium pia pamoja na dynamic equilibrium of chemical reactions
Basi ielewe hapa chini inahusu reaction at chemical reactions Ila na kwa binadamu inatumika pia.

Le Chatelier's principle states that if a dynamic equilibrium is disturbed by changing the conditions, the position of equilibrium shifts to counteract the change to reestablish an equilibrium. If a chemical reaction is at equilibrium and experiences a change in pressure, temperature, or concentration of products or reactants, the equilibrium shifts in the opposite direction to offset the change.

Soma hapo juu uelewe yaani ikuingie kabisa .

Njoo kwenye physics Sasa kuhusu balances of forces inasemaje

Equilibrium of forces states that an object is in equilibrium when all the forces acting on it are balanced, resulting in a net force of zero, meaning the object will remain at rest or move with a constant velocity, based on Newton's First Law of Motion; essentially, the forces acting in one direction are exactly countered by forces acting in the opposite direction.

Sasa ume disturb equilibrium nakuambia ni ngumu kuirudisha Ile furaha aliyokuwa anakupa Kama mme ndio ivyo hakuna Tena.
Yaani nakuambia mambo yote alivyojitoa kwake ukamuona zoba ama kweli nyie mna akili sana.
Aiseee kwa hiyo ndo matumizi ya elimu haya 😂😂🤒
 
Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Mkifika hatua hii sasa ndio mnaanzaga kuwa wachawi rasmi mwanzo ulikua unachukua master's ya uchawi sasa hapa ulipofika ni kwenda kuchukua PhD ili umalize mchezo na uchawi wenyewe ni aidha ummalize ubakiwe na mali na uwatimue ndugu zake anaowakumbatia au uombe talaka kila mtu aishi maisha yake maana ulianza kuwanga sasa umeshtukiwa kua wewe ni mchawi kigagula sangulachore kabisa wewe

Na hii mboni nasikia harufu ya Chai hapa? Tangawizi inatokea wapi?
 
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.

Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.

Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.

Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Tamaa zilimponza fisi
 
Kuwa makini, ukiparara tu na mume unampoteza. Wanaume huwa hatuna mihemko. Tunajua tubonyeze button ipi ya kumnyoosha mwanamke asiyethamini uwepo wetu. Kilio husikika baadae.

Pengine tangu unajenga alikuwa anajua na anakutazama tu akikupa muda labda utajirudi. By the time amejiridhisha kuwa hujapitiwa na tibia ndo akatafuta sababu ya kubonyeza button, hiyo text ikaja, sababu ikapatikana button ikabonyezwa sasa mlio unasikika.
 
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.

Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.

Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.

Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Uaminifu unajengwa kwa muda mrefu sana tatizo kwenye kuubomoa sasa ni tukio moja tu.
 
🤔🤔🤔🌤️
 
Huyo mtu ni mtu mwema sana,alikuamini kama Adamu kwa Hawa!Ubinafsi umekuponza,nunua kiwanja kwa jina lake mshangaze na kumuonyesha hati na matofali ,ili mjenge kwa pamoja Hakika atakuamini,umekula,utakuja kumshukuru Mungu
💭🤔👌👍👊🤝🆒
 
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.

Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.

Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.

Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Umefanya ujinga utakaokugharimu sana. Sasa kama nyumba ushajengewa unazo na viwanja unavyo kwanini ulijenga kimya kimya. Wanawake tatizo lenu la ubinafsi liko rohoni.
 
Lipia tangazo mkuu
 
Back
Top Bottom