MAJUTO: Nimejenga kimya kimya Mume wangu kajua hanishirikishi tena mambo yake

Wanawake walio wengi huwa na tamaa ya kuwa na vya kwao, ambapo mimi sina shida na hiyo shida iliyopo ni namna wanavyotekeleza hili maana automatically inawaexpose kuwa si waaminifu mfano mdogo tu kwenye pension funds/bank account/kazini ni kawaida sana kukuta mke kajaza ndugu zake kuwa ndo warithi pindi chochote kikitokea lakini huwezi kukuta kakajaza mume, ila kawaida sana kumkuta mume kajaza mke na watoto wake!

Halafu wanawake huwa wanaamini mume ni wa kufa tu muda wowote, na wao ni wa kuishi muda mrefu so bora awa na vyake mapema so vya mume vyake na vya kwake vya kwake ubinafsi wa hali ya juu sana huu!!!

Wanawake ni wabinafsi tokea kwa Adam, Eva alimuona nyoka wa maana kiasi cha kumdharau Mungu na mumewe!
Bora uwandikie wanao damu yako wakizingua ni wao.
 
Huyu bibie alikosea sana alipoulizwa yeye akaamua kukataa, sasa hii ilimfanya mume apoteze muda kuanza kufuatilia na hii ilikuwa mbaya sana! na nafikiri hii ndo ilimfanya jamaa apoteze imani kabisaaaa na bibie! Maana assume una mtoto kakosea then unamuuliza kwa nia nzuri tu ya kutaka yaishe lakini mtoto anakataa then wewe uanze uchunguzi wako halafu ugundue kuwa kosa alilokataa kuwa hakufanya kumbe alifanya utajisikiaje!
Yah ni kweli. Sema hofu ya kugundulika ilimtoa kwenye reli akajikuta anaharibu zaidi.
 
Sikia hapo wewe kwenye halmashauri ya kichwa chake haumo tena trust me!
utakuja kusituka ana mke na mtoto. Kumbuka mwanaume kukuachia vitu vyote alivyo navyo kisha akaanza kwenda kuanza moja sio swala gumu kwetu.

Imani yake kwako umeipoteza mwenyewe.Hata ufanye nini bado atajua kuna nyumba zingine au miradi mingine ambayo wewe umeanzisha na haijui.Hata mama yako hana nafasi hata ya kushauri ndoa yako maana anawajua wote mmeshirikiana kuhujumu familia yake.

Hapo hata miujiza haitasadia sanasana ukizidi kumwambia akusamehe ataishi kiigizaji lkn moyoni haumo kabisa.
 
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.

Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.

Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.

Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Pumbavu, utakula ulipopeleka mboga .
 
Mwanamke mpumbavu huharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe,mwenzako anakushirikisha Kila kitu, adi gari anakununulia,yaani hapo ni mwendo wa kuishi mme-mke jina basi, Ila Ile reality Tena haipo, umelikoroga mwenyewe so linywe mwenyewe, ngumu kuirudisha Ile moyo wake yaani ni ngumu yaani hapo hesabu umeshachana mkeka. Namie Niko ivyo yaani ukizingua ndio imetoka, watu hamjasoma equilibrium or principles of equilibrium pia pamoja na dynamic equilibrium of chemical reactions
Basi ielewe hapa chini inahusu reaction at chemical reactions Ila na kwa binadamu inatumika pia.

Le Chatelier's principle states that if a dynamic equilibrium is disturbed by changing the conditions, the position of equilibrium shifts to counteract the change to reestablish an equilibrium. If a chemical reaction is at equilibrium and experiences a change in pressure, temperature, or concentration of products or reactants, the equilibrium shifts in the opposite direction to
 
Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

ULE UTU WAKE WEMA UMEULIPA KWA UBINAFSI WAKO.
KUMRUDISHA MTU WA HIVI KUWA KAMA MWANZO, HATA HEKIMA ZA MFALME SULEIMAN I HAZISAIDII.

ONGERA KWA KUWA MAMA MWENYE NYUMBA
 
"Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali" kama hii ni kweli basi hana sababu ya kununa sasa alikuwa anataka hela yako ukaitumie wapi na unafanya kazi? si hana kazi nayo anajiweza hela yako haina kazi kwake hana sababu ya kubadilika!
Lack of transparency justifies the changes in discussion.
 
Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.
Itoshe kusema wewe ni shetani na mbinafsi mbaya sana. Watoto wenu wasije rithi tabia zako.
 
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.

Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.

Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.

Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Huyo mmeo ni fala,kijana wako mkanye asiige tabia za baba yake hasa hizo za kabla ya kufikia miaka 6 ya ndoa yenu.
 
Lengo la kujenga kimya kimya bila kumwambia mumeo ni nini?

Vuna ulichopanda
 
Back
Top Bottom