MAJUTO: Nimejenga kimya kimya Mume wangu kajua hanishirikishi tena mambo yake

Nilikua namshirikisha kila kitu mpenzi wangu, baadae akaanza biashara na watu wengine akawa na mipango mingi ya Siri ya kibiashara toka hapo nilimbadilikia na naamini atakumbuka ujinga wake huo , hiyo kwa mwanaume ni usaliti na hakuna mwanaume mwenye akili timamu anavumilia usaliti wowote mwanaume anabadilika kulingana na wewe mwanamke kujifanya mjuaji na hapo ujue ashapata mwanamke anayempenda ambaye anakula naye Raha , so vile hamjui mnataka nini ndio matokeo yake hayo.
 
Tamaa ya wanawake hujikuta wameangukia pabaya
 
Sasa kina kuuma nini wakati wewe hukuwa tayari kumshirikisha?
 
Hapo umevunja uaminifu mliokuwa mmejijengea Kwa hakika kukuamini Tena inaweza kuchukua muda au asikuamini Tena, ulikosea kutomshirikisha mambo yako. Pole sana. Mpe mda anaweza akakusamehe kama ikitokea miujiza
 
Huu utopolo hakuna content humu
 
Hili haliwezi kuisha kwa usiku mmoja,

Ulitumia muda Mwingi kuvunja uaminifu, wekeza kwenye kujenga uaminifu.

Sahau kuhusu mrabaha wako kwa mume wako, Anza kumpa mrabaha wake and with time Imani itajengeka na maisha yatarudi yalipokuwepo.

Ila inahitaji uvumilivu na care ya hali juu ya angalau 2yrs and at most 5yrs.

Atajirudi kwa sababu hakufanya kwa kulazimishwa Bali kwa upendo wake, ongeza upendo atajirudi
 

Hata ningejuwa mim nisingekuamini Tena ila mumewako ni akili nying sana

Ubaya ubwela
 
Kusema kweli ulimloga Bro,sisi ndugu zake tumetegua Sasa yupo clean 🪥🪥 utasaaandaaa😭🤣
 

Huna cha kufanya, wewe ndo umemuelekeza namna ya kufanya na yeye katekeleza maagizo yako!
 
nyie ndio mnasababisha ndoa ionekane haifai, useless kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…