MkuuXyz
Senior Member
- Jun 18, 2025
- 161
- 280
Ni Mikoa gani/makabila gani, Kuna uwezekano wa Kuoa/kuishi na wake zaidi ya mmoja bila ya watu kukutolea Macho?
Mpango no huu,
1. Kununua Ardhi ya kutosha
Kujenga Nyumba na kufanya ufugaji/kilimo
2. Kutafuta wake wawili wembamba na wazuri wenye umri kati ya miaka 21-25 . Wadau nipeni Mikoa au Makabila yatakayonirahisishia kuishi lifestyle hii.
Kama kuna kina dada wenye sifa hizo pia mnakaribishwa kuchangia.
Sichagui Dini bali heshima na maadili mema.