Wasukuma, nasikia hawana utaalamu wa mapenzi, hata ukijaribu kuwadokeza mambo fulani huwa ni wagumu sana kuelewa. ( ni fununu ambazo nimezisikia wanaume wengi wanasema kuhusu wasukuma ) hebu changieni kama kuna anayefahamu juu ya hili.Wasukuma na fresh tu
Hebu nioneMimi sina wivu kabisa, sema nimenenepa
Ni hivyohivyo mkuu sio wanaume sio wanawakeWasukuma, nasikia hawana utaalamu wa mapenzi, hata ukijaribu kuwadokeza mambo fulani huwa ni wagumu sana kuelewa. ( ni fununu ambazo nimezisikia wanaume wengi wanasema kuhusu wasukuma ) hebu changieni kama kuna anayefahamu juu ya hili.