Makabila haya mtu ukifanikiwa jiandae kujaza ndugu tegemezi kwako ama kukuomba misaada kila mara, ukikataa unaonekana huna undugu

...Uongo. Wasambaa hawana Tabia hiyo! Yuko radhi akabebe matenga ya nyanya sokoni ajitegemee kuliko kukaa Kwa ndugu. Ni Mtu wa Kazi. Jiulize idadi kubwa ya wabeba mizigo Kariakoo na Wasukuma mikokoteni ni Kabila Gani....!!!
Sawaa msambaa wangu nakuelewa
 
Eti ukute Bab angu Masai afunge safari aje kumtembelea mtoto wake aliyeko dam au mkoani huwezi kuta wa kiume au wakike haipo hyo kwa wamasai
Kwenda kulala kwa mwanae haipo

Na Kam akija atalala nnje Kisha asbh ataondoka
 
Kama wasukuma hawapo kweny list yako rud kafanye utafit upya
 
hahahaa tena hawatoi taarifa yoyote, mtu anazengea mnashangaa huyo, ukiyumba kiuchumi wa kwanza kufurahi na kukusema mbaya sana, kimsingi wageni wambali sijui nani nani wanakuwa wanga, especially kama maisha yenu hamjawahi kuwa karibu huyo mlazeni gesti basi msimpe chumba
 
Wafipa on top of the list 😀
 
Dah kumbe ndy mlivyo ndugu mulio napesa mnatuanika had mitandaon tukiwaomba kisa tumewaomba msaada 😥😥😥 dah umasikin nimbay san
 
Haooo! wakija si ndo wazuri hao!! wapeleke shamba hukooo watakusaidia kufuga kuku wako, Ng'ombe mbuzi, bata mizinga, jamani Malighafi adimu hivooo?? wape kazi hao wajengee Bwalo la kulaa double deck!

bwalo la kulia msosi!
 
Where love and wisdom prevail 👏👏
 
Wengine wasukuma hawa jamaa ni hatari ukitaka kujua panda mabasi ya Kanda ya ziwa mfano allyz zinazokuja dsm yaani yamejaa wanavijiji, mtu kapiga ndala, na pensi ya jinsi na shati lake la wiki hajafua, huko kwenye gari ni kulakula hivyo kutapika kwa kwenda mbele, hawa jamaa ninoma.
 
Ksk inatokea handeni na wenyeji wa huko ni wazigua ,tashrif na nacharo zinatokea tanga mjini wenyeji ni wadigo hapo wasambaa wanaingiaje na je mtu akishuka kwenye basi unajuaje kabila lake
 
Eti ukute Bab angu Masai afunge safari aje kumtembelea mtoto wake aliyeko dam au mkoani huwezi kuta wa kiume au wakike haipo hyo kwa wamasai
Kwenda kulala kwa mwanae haipo

Na Kam akija atalala nnje Kisha asbh ataondoka
Hujui chochote hao ndo hao ndo balaa kabisa ,mzee anakula mke wa mwanae ,anafunga safari anaweka mkuki anaingia anakuwa kama baba mweny nyumba kwa wakati anafanya mpaka zinaa na mke hata wa mwanae.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Apo kwa Samatta umemkaangia sumu tu lakini kama ujui basi nakujuza Dogo Kelvin P John anakaa na Samatta uko Belgium

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Bro kaoa mhaya wanaishi sinza palestina...nyumbani kwake wamejaa shemeji zake na watoto wa wajomba wa mke wake kutika uhayani wanasoma law school. Yani majibaba mazima hua usiku yakirudi yanajaa sebuleni yakishakula hayabanduki dinning table yanavua mashati yanaanza kucheza karata yanabishana kihaya makelele kibao.

Maza alienda mara moja kero yao ya makelele watu wanashindwa kulala yani maza hajawahi kurudi tena kwa bro
 
Waambie wakakae hostel kwa dada Esta pale au dukani kwa Jon pale waache undezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…