Makabila haya mtu ukifanikiwa jiandae kujaza ndugu tegemezi kwako ama kukuomba misaada kila mara, ukikataa unaonekana huna undugu

Umewasahau wasukuma..

#MaendeleoHayanaChama
Msukuma huna haja ya kumfukuza wewe usipike ugali hata siku moja na uwe unapika wali tu na unapika kwa vipimo.Ataondoka shida ya nini? Msukuma chakula kwake sio shida ni wachapa kazi.afe na njaa wakati kwake chakula sio cha kupima?
 
Ukweli mtupu hata kama unauma ila makabila ya wavivu na wazembe wenyewe hujayajua vizuri.
 
Mzee wabena hatuna huo upumbavu ni moja ya makabila wana misimamo sisi hata mke akigombana na mke wake ni maarufu kumpokea Mtoto wa kike bila taarifa za kueleweka akitaka aende ukwen kwao.
Kuhusu self Economy ni kawaida yetu kupanbana na sio kutegemea msaada
 
Ni kama watani wenu wahehe tu 😂

Hivi naulizaga kwanini hayo makabila yenu binti akiolewa ndio anaangwa moja kwa moja, mama yake (sijui kwa baba) hawezi kuja kupishana nae kwenye korido za huko alikoolewa.

Ni utamaduni au ?
 
Nipo kwa uncle na mdogo wangu, nimesoma hii post nimejisikia vibaya huo ni wivu tu, we sema ndugu zako hawana hela hivyo huna pakushika
 
Una akili sana ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…