Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

Wazungu hawana dini

Hizo hizo dini na mila za middle east,zimewafanya watumwa wa kifikra hadi mnatukana wa wazee wenu na kuwaona hawafai no wonder kila siku mpo makanisani mnalia bila kupigwa,kosa kubwa sana kudharau waliokutangulia mbaya zaidi kuwatukana.
 
Wameturoga saana. Mtu unalala ndani usiku ukiwa msafi asubuhi unajikuta miguu yote mpaka kichwa umejaa tope tupu huku umechoka chakali.
Hiyo nayo inaitwa Sleep walking. Umesikia wazungu wakisema, oh tunaamka Usiku tunakula na kunenepeana? La hasha, kama ushasikia hivyo, ushasikia wakisema ni Uchawi huo? Au wamerogwa kwa sababu wamejikuta wametembea nakumang'a mang'a usiku?
 
Wanao ongoza kulala na Binti zao ni kabila Gani vile
Wanaita incest huko Ulaya na Marekani, ndipo kunapoongoza kwa tabia hizo na wala sio Uchawi, ni kukosa moral compass tu, na unaona mpaka kwenye sheria zao za kutoa mimba, ambazo zimekuwa na masharti makali, lakini hili la Incest wameliachia kwa sababu ya aibu wanayopata. Hatari sana
 
Hayo matambiko ndio uchawi wenyewe wa asili
Waafrika wote ni wachawi wa asili kupitia miungu yao wanayojiunganisha nayo kupitia matambiko na mizimu
Kwa hiyo ukijiunganisha na miungu ya kizungu kina yesu na wengine wewe sio mchawi?
 
Ila Mkuu wapare umetuonea..mdheee mbwambo,m dheee kiduri,mmdheee msava,sifaeli na mndemeee...tuitisheni kikao
 
Hiyo nayo inaitwa Sleep walking. Umesikia wazungu wakisema, oh tunaamka Usiku tunakula na kunenepeana? La hasha, kama ushasikia hivyo, ushasikia wakisema ni Uchawi huo? Au wamerogwa kwa sababu wamejikuta wametembea nakumang'a mang'a usiku?
Siyo sleep walking mkuu. Maana mbali ya kujikuta na tope unajikuta umepigwa Chale kibao, na umeachwa umelala nje na mlango imefungwa kwa ndani. Hiyo kweli ni sleep walking?
 
Siyo sleep walking mkuu. Maana mbali ya kujikuta na tope unajikuta umepigwa Chale kibao, na umeachwa umelala nje na mlango imefungwa kwa ndani. Hiyo kweli ni sleep walking?
weka chanzo cha hadith yako, au ndio kusema ilikukuta weye?
 
Back
Top Bottom