R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,178
- Thread starter
- #61
Hakunaga tambiko lisilo na damu, hata yesu alitufia msalabani damu yake ilikuwa kafara, kabla ya hapo ili kusamehewa dhambi kulikuwa ni lazima lifanyike tambiko kuchinja ngombe na wanyama wengine.Tofauti hapo ni ipi?hao wote wako kwenye kazi moja hakuna kuficha ukweli wa mambo uchawi umegawanyika na hilo la kuabudu mizimu ni kipengele kimojawapo cha uchawi. Kama mtu anaweza kumtoa mtu kwa kafara ya kulisha mizimu inywe damu ya binadamu huo sio uchawi jamani au me ndio sielewi nieleweshwe vizuri
Ishu tunayozungumzia hapa ni uchawi unaoathiri wengine, mtu kafanikiwa anapigwa kipapai, mtu unaona hakupendi unampiga limbwata, mtu anasumbuliwa na wanga usiku, mtu anaanmka kapigwa wembe wa chale, n.k