Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

Aah wapare wanapenda ndumba aisee..
Kuna mshkjai wangu mmoja mwana sana akanambia siku moja amepata demu anataka kufanya nae maisha.
Nikamuuliza ni mtu wa wapi akasema mpare.Nikaona isiwe kesi sitaki kuyaingilia maisha ya watu nisije onekana mwanga.

Sema nikaona sio poa kumuacha mwana nae apotee bila mimi kusema neno nikamwambia kwa tahadhari kuwa kwamba "KUWA MAKINI MSHKAJI WANGU ,WATU WA PANDE HIZO NI WAJUZ SANA".

Nikaishia hapo hapo.

Hazikupita week nyingi akaniambia braza leo ndio nimekuelewa ile kauli yako, huyu manzi mchawi kishenzi 😂😂
 
Mizimu inayoabudiwa na wachaga ni uchawi tosha. Waganga wapo ndani ya familia na ukoo. Ukihitaji kufanya tambiko la kafara unamtafuta mzee wa mila. Hawa wazee wa mila ndio waganga wenyewe.. Me ni mchaga nakuambia uhalisia
MUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila hasa katika koo za kichifu, lakini ni tofauti kabisa na uchawi wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k.
 
Hakuna ushirikina ukuryani. Kanda maalum ni mwendo wa tit for tat. Ukizingua mnamalizana hapo hapo. Hakuna muda wa kuanza kitafuta waganga!

Siku ukikutana na mganga akakuambia yeye ni mkurya, kimbia huyo ni tapeli.
Nakazia
 
MUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila hasa katika koo za kichifu lakini ni tofauti kabisa na uchawi wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k.

Uchawi umekuwa ukisumbua jamii nyingi sana watu hulalamika kulogana ama kutupiana majini pale mtu anapopiga hatua, malimbwata ya mapenzi, kutupiana mabusha, kufunga vizazi, wanga wanaokaba usiku, kupigwa chale, n.k.

Pamoja na haya, kuna haya makabila machache nimeona mambo ya uchawi ni adimu ama yapo kwa kiwango kidogo sana, ni ngumu kukuta uchawi wa asili katika makabila haya, Mtu wa huku akitaka uchawi itambidi asasafiri kwenda makabila mengine.

1. Wamasai - Huko kwao ni ngumu kukuta uchawi wa asili yao, sehemu ya karibu kuupata uchawi ni kusafiri uende kuununua kwa waganga warangi ama wambulu (wairaqw)

2. Wachaga - Huko kwao ni ngumu kukuta uchawi wa asili yao, sehemu ya karibu kuupata uchawi ni kusafiri uende kuununua kwa waganga wapare

2. Wakurya - Huko kwao ni ngumu kukuta uchawi wa asili yao, sehemu ya karibu kuupata uchawi ni kusafiri uende kuununua kwa waganga wajaluo ama wajita.

Hakuna uchawi mbaya kama uchawi wa mizimu. Na hawa wanajidai ni wafanya mila na matambiko ili kuhalalisha ibada za mizimu inayoishi kuzimu kama wachawi tuu

Wachaga ni washirika tu, uchawi wa asili hawana

Wale wanaoendaga kuwatolea sadaka za mbuzi na Pombe ni kina nani? Kama sio ushirikina huo ni nini
 
Ukienda kwenye misiba ya wajaluo, sio ya kujifanya una kiherehere cha kula. Tonge moja laweza ondoka na roho yako kimasihara
Hivi huwa inakuaje, naskia tu unapigwa jicho.

Huo uchawi unamtesaje mtu, huwa wanakufanya uumwe, ufe, uwe, uwe na mikosi, uongizwe kitu mwilini au ?
 
Hakuna uchawi mbaya kama uchawi wa mizimu. Na hawa wanajidai ni wafanya mila na matambiko ili kuhalalisha ibada za mizimu inayoishi kuzimu kama wachawi tuu

Wale wanaoendaga kuwatolea sadaka za mbuzi na Pombe ni kina nani? Kama sio ushirikina huo ni nini
Ndio maana nimesema WACHAGA NI WASHIRIKINA TU.
wanashikiri vitendo vya kuchawi kama vile uaguzi na matambiko.
Hawana ule uganga na uchawi wa asili
 
Muulize je ameshawahi kusikia mganga wa kienyeji mchaga?
Ushirikina wa kutafuta mali kwa waganga wa makabila mengine hatukatai tunaenda.
Lakini uchawi wa kurogana uchagani haupo.
Mkuu nikuhakikishie tu kwamba Wachagga WAROMBO ni wachawi aka vigagura. Hao pekee nimeshuhudia kwa macho yangu ya nyama. Japo kweli sijawahi kuona mganga wa kienyeji toka kabila hiyo na nnafikiri haya mambo ya kurithishana mikoba ya uganga chimbuko lake ni umasikini na kutojihusisha na shughuli za kiutaftaji.
Ukienda Tanga hasa uziguani ni sifa mtu akirithi mkoba wa uganga na kuna baadhi huuana kabisa ili achukue mkoba.
 
Ndio maana nimesema WACHAGA NI WASHIRIKINA TU.
wanashikiri vitendo vya kuchawi kama vile uaguzi na matambiko.
Hawana ule uganga na uchawi wa asili
Hayo matambiko ndio uchawi wenyewe wa asili
Waafrika wote ni wachawi wa asili kupitia miungu yao wanayojiunganisha nayo kupitia matambiko na mizimu
 
Hayo matambiko ndio uchawi wenyewe wa asili
Waafrika wote ni wachawi wa asili kupitia miungu yao wanayojiunganisha nayo kupitia matambiko na mizimu
Kama unafananisha ushirikina na uchawi basi
 
Kama unafananisha ushirikina na uchawi basi

Kuwa mshirikina, au mchawi au mganga ni madaraja ya mawakala wa kuzimu tuu sawa na Kuwa FFU, au askari trafiki au askari wa upelelezi.

Tusipunguze ukali wa maneno wala tusitake kuhalalisha wote hao ni wachawi wa vyeo tofauti sawa na askari wa vyeo tofauti
 
Hivi kwa wajita na wakwaya wapi haya mambo ya ushirikina yamezidi ?
Wakwaya kwa uchawi ni kidogo sana, wanatumizi ya nguvu kwenye kulipa kisasi kama wakurya.

Ni watu wenye hasira kali hawezi kuvumilia akuache hadi madawa ya mganga yafanye kazi.
 
MUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila hasa katika koo za kichifu, lakini ni tofauti kabisa na uchawi wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k.
Tofauti hapo ni ipi?hao wote wako kwenye kazi moja hakuna kuficha ukweli wa mambo uchawi umegawanyika na hilo la kuabudu mizimu ni kipengele kimojawapo cha uchawi. Kama mtu anaweza kumtoa mtu kwa kafara ya kulisha mizimu inywe damu ya binadamu huo sio uchawi jamani au me ndio sielewi nieleweshwe vizuri
 
Back
Top Bottom