jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wazungu hawana dini
Wameturoga saana. Mtu unalala ndani usiku ukiwa msafi asubuhi unajikuta miguu yote mpaka kichwa umejaa tope tupu huku umechoka chakali.Huo utafiiti mliufanya wapi?
Una hasira sana mkuuWalikuua wewe?
Hiyo nayo inaitwa Sleep walking. Umesikia wazungu wakisema, oh tunaamka Usiku tunakula na kunenepeana? La hasha, kama ushasikia hivyo, ushasikia wakisema ni Uchawi huo? Au wamerogwa kwa sababu wamejikuta wametembea nakumang'a mang'a usiku?Wameturoga saana. Mtu unalala ndani usiku ukiwa msafi asubuhi unajikuta miguu yote mpaka kichwa umejaa tope tupu huku umechoka chakali.
nimecheka kama mazuri. duh.Wameturoga saana.
Ni kabila gani mkuuWanao ongoza kulala na Binti zao ni kabila Gani vile
uzuri wazungu uchawi wao haulumbani kama huku africa, wanataka basi watu wote wawe wagalatia au waarabuNdio wachawi wenyewe hao.
Wanaita incest huko Ulaya na Marekani, ndipo kunapoongoza kwa tabia hizo na wala sio Uchawi, ni kukosa moral compass tu, na unaona mpaka kwenye sheria zao za kutoa mimba, ambazo zimekuwa na masharti makali, lakini hili la Incest wameliachia kwa sababu ya aibu wanayopata. Hatari sanaWanao ongoza kulala na Binti zao ni kabila Gani vile
Kwa hiyo ukijiunganisha na miungu ya kizungu kina yesu na wengine wewe sio mchawi?Hayo matambiko ndio uchawi wenyewe wa asili
Waafrika wote ni wachawi wa asili kupitia miungu yao wanayojiunganisha nayo kupitia matambiko na mizimu
Hana hojaUna hasira sana mkuu
Endeleeni na kafaraHana hoja
Kwa hiyo ukijiunganisha na miungu ya kizungu kina yesu na wengine wewe sio mchawi?
Mbona hamzungumzii Waruri?Wanalingana tu, labda tofauti ni kuwa wajita ni wengi kwa idadi kuliko wakwaya, hivyo inaweza kuonekana wajita ni wachawi zaidi kuliko wakwaya ila wanaendana
Sawa mkuuYesu ni Mungu mkuu muumba wa mbingu na nchi
Yesu sio mzungu
Siyo sleep walking mkuu. Maana mbali ya kujikuta na tope unajikuta umepigwa Chale kibao, na umeachwa umelala nje na mlango imefungwa kwa ndani. Hiyo kweli ni sleep walking?Hiyo nayo inaitwa Sleep walking. Umesikia wazungu wakisema, oh tunaamka Usiku tunakula na kunenepeana? La hasha, kama ushasikia hivyo, ushasikia wakisema ni Uchawi huo? Au wamerogwa kwa sababu wamejikuta wametembea nakumang'a mang'a usiku?
weka chanzo cha hadith yako, au ndio kusema ilikukuta weye?Siyo sleep walking mkuu. Maana mbali ya kujikuta na tope unajikuta umepigwa Chale kibao, na umeachwa umelala nje na mlango imefungwa kwa ndani. Hiyo kweli ni sleep walking?
Ilinikuta mimi. So I am speaking from bitter experienceweka chanzo cha hadith yako, au ndio kusema ilikukuta weye?