Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Nahisi wasuks wanaongoza sema hawajui kujiremba tu. Mtakataa ila ukweli ndo huo
 
Hapo kwa wananyakyusa ungewaeka wambulu mkuu. Hao wa Tanga toa kabisa Sana Sana wanabebwa na mbwembwe zao zile za waja leo waondoka leo
 
Mhhhh jamani kwanini twambombo mnawatoa?? Shepu zao jeeee?
 
Nahisi wasuks wanaongoza sema hawajui kujiremba tu. Mtakataa ila ukweli ndo huo
Hiyo itakua Sio kweli.

Kwasababu Uzuri haujifichi kwenye ujuzi wa kujiremba. Uzuri ni kitu cha asili. Unawesa tambua mzuri hata kabka hajajiremba

Pia Unapotaja makabila, ufahamu kila kabila nchini linaishi maisha ya kawaida sana na wanajiremba vilevile.
 
Kanda ya ziwa imebebwa na simiyu kwa uzuri, mwanza inafatia, shy, kagera, geita, mwisho kabisa n mara
 
My top 10
1.wamburu
2.wanyiramba
3.warangi
4.wasambaa
5.wanyamwezi
6.wachaga
7.wazigua
8.wadigo
9.wasukuma
10.makabila yote ya pwani. Lindi, killwa, bagomoyo nk
 
Kama wamburu na wairaq hawapo list yako batli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…