ahhahah umejua kunichekesha hahhahha maninaWachaga miguu kama chaga za kitanda, vimiguu vyembamba unaweza sema ni bomba la maji bafuni, Juu sasa wapana na wanene kama tembo
Mkuu wanyakyusa umewaweka kwa kigezo gani[/QUOTE
Kwani uzuri unapimwaje.Nadhani watu wana mitizamo tofauti.Wengine mwanamke mweupe kwao ndio mzuri.Sasa hicho kingekuwa sahihi wazungu wote wangekuwa wazuri.mbona mm ni mnyakyusa na nina sifa zote mzuri, nina shepu na nina mguu wa biaa...sio wanyakyusa wote wabaya lekebisha kauli yako
HapanaPole sana
[emoji1] [emoji1] [emoji115] hawa watani wangu wanyakyusa kila kitu wanacho wao duu.ila usipingane na tafiti kubali tu[emoji1]
Unawaacha Wahangaza, wambulu(wairaqw), wapemba, waasi.....unaweka wasukuma, wanyakyusa, wapare....huu utafit wa kupika aisee!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanyantuzu si ni wasukuma wa bariadi? Kwani kuna kabila la wanyantuzu la wapi hilo?
nyakyusa tuna rangi nzur sana za asil kitu black beutyKwani uzuri unapimwaje.Nadhani watu wana mitizamo tofauti.Wengine mwanamke mweupe kwao ndio mzuri.Sasa hicho kingekuwa sahihi wazungu wote wangekuwa wazuri.
Mbona tupoWanyakyusa hapo sikubali hata kwa ngumi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi simoo ngoja wenyewe waje...Wachaga miguu kama chaga za kitanda, vimiguu vyembamba unaweza sema ni bomba la maji bafuni, Juu sasa wapana na wanene kama tembo
Nina wasiwasi hujawahi penda maana, unachopenda kwa wachaga ni kitu gani: zile cream? yale miguu? ule ubabe? ile tabia ya kwanini.1.Warangi
2.Wanyaturu
3.Wameru
4.Wamasai
5.Wasukuma
6.Wachagga
7.Wahaya
8.Wanyamwenzi
9.Wapare
10.Wanyakysa
1.Warangi
2.Wanyaturu
3.Wameru
4.Wamasai
5.Wasukuma
6.Wachagga
7.Wahaya
8.Wanyamwenzi
9.Wapare
10.Wanyakysa
Mkuu wewe kabila gani?Nina wasiwasi hujawahi penda maana, unachopenda kwa wachaga ni kitu gani: zile cream? yale miguu? ule ubabe? ile tabia ya kwanini.
unachopenda kwa wameru ni nini ule weuzi na sura zisizo kuwa nzuri zenye mvuto?
unachopenda kwa wanyakyusa ni nini ule weusi, ufupi, ukakamavu.
unachopenda kwa wamasaid ni nini kule kutokula samaki, ule wembamba, unawajua kitandani kweli?
unapenda wapare kwa weupe au na tabia ya kupenda kuwalia hela wanaume?
basi niachie hapa nisije kutukanwa bure kwa ukweli
Hiyo 10 ondoa aisee,