Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

Wairaq namba nyingine aisee...ni wazuri wale watoto jamani..Alafu fanya figisu figisu zako angalia usije angukia kwa Mrangi,Mpare,Mbulu utakoma maana hapo ukioa unakuwa umetuolea aisee.. Kupigiwa ni PAI 22/7
 
Ila wasukuma au me ndo siwaoni,ukichanganya na lafudhi yao aghhhhhhhhhhhhhh,rudia tena tafiti toa wasukuma weka wambulu,Toa wanyakyusa weka wanyaturu,To a wapare weka......
 
Ungepanga angalao hivi ningekuelewa, lakini hiyo orodha yako ni zero.

1. Wambulu
2. Warangi
3. Wasambaa
4. Washirazi
5. Wanyiramba
6. Wahangaza
7. Wanyamwezi
8. Wasandawe
9. Wanyaturu
10.Wajaluo
Wajaluo kweli au unatania
 
Back
Top Bottom