Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Mimi ni mtafuta riziki na nimejiajiri.
Katika mishe zangu, nimeishi Mwanga, nimeishi kihurio, nimeishi hedaru, nimeishi Ndungu. Sipendi kuweka wazi hapa ila hawa ndugu zako wanahitaji maombi
 
Ila mkuu nilisoma pale same boys , wapare watani zangu ni maharage ya mbeya kinyama , ukipita masandale wale watoto utakao wakuta wanavuta bangi ni wakwetu mkuu.
 
Ila mkuu nilisoma pale same boys , wapare watani zangu ni maharage ya mbeya kinyama , ukipita masandale wale watoto utakao wakuta wanavuta bangi ni wakwetu mkuu.
Ulisoma enzi zipi Mkuu? Mlikua bado mnafuata maji Steshen?
 
Noma ,tulisoma kipindi punje anachoma shule pcb 1 sisi ndio tulichora tatoo ya mkono kwa kinyesi agrey dom
Masandare kule wake za watu walikoma. Miaka ya 1991-1994 Kuna mwanafunzi (anaishi Shaban Robert) alikua ana hela anakula mke wa Headmaster kila weekend kwenye gest pale karibu na posta same mjini
 
Masandare kule wake za watu walikoma. Miaka ya 1991-1994 Kuna mwanafunzi (anaishi Shaban Robert) alikua ana hela anakula mke wa Headmaster kila weekend kwenye gest pale karibu na posta same mjini
Wewe ni kipind same boys wapo mademu?
 
Masandale pale karibu na shule ya msingi niisht,, ,,,, mbea mtoto wa kandoto girls kwenye kichaka , matr., , ko yake yakajaaa mchangaa🤣🤣🤣
Ha ha ha. Sisi kila jumamosi tulikua tunawekewa video (ya kulipia) pale Bwaloni Sasa wengine ndo tunazama kitaa kwenda kumwaga upwiru
 
Duh 😄
 
Upareni kote Sera ni umalaya. Enzi hizo HEDARU ndo ilikua makao makuu ya Umalaya - Malori yanaweka kambi hapo kila gesti imejaa Malaya wa kupigwa miti
 
Ha ha ha. Sisi kila jumamosintulikua tunawekewa video (ya kulipia) pale Bwaloni Sasa wengine ndo tunazama kitaa kwenda kumwaga upwiru
Ila same boys miaka ile tulikua na akili ya shule kinyama ,japo tulikua wahuni , sijui watoto wa saivi wamekumbwa na nini ? Mlikuta gari la samsoni😁😁
 
Ila same boys miaka ile tulikua na akili ya shule kinyama ,japo tulikua wahuni , sijui watoto wa saivi wamekumbwa na nini ? Mlikuta gari la samsoni😁😁
Mkuu miaka ya 1991-1994 ndo magari yalikuwepo shule nyingi za Serikali. Samson (Isuzu injection) lilikua jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…