Dada zao sasa!
Kama unapajua Arusha unaelewa nazungumzia nini.
BIG X Hao wengine ni kabila gani ambao hutaki kutaja hilo kabila lao kila mtu akisema anavyowajua unasema sio wairaqw sasa ni kabila gani?Ninaposema wairaqw namaanisha wambulu original, sio hata wale wanaojifanya nao ni wairaqw au wanaoishi maeneo hayo, sababu kuna wasomali nao wanajiita wairaqw. dada zetu wa kiiraqw hawana hiyo tabia.
Mkuu bampani umeona eeh! Nafanya nao kazi niwabinafsi, wakabila mbaya, Utasikia tu Saitaa... Saiyuu, Hydomaa... Hydori, ila dada zao yaani ma-decii wakarimu sana they never say no!Ukabila!! Ukabila!!
Mkuu bampani umeona eeh! Nafanya nao kazi niwabinafsi, wakabila mbaya, Utasikia tu Saitaa... Saiyuu, Hydomaa... Hydori, ila dada zao yaani ma-decii wakarimu sana they never say no!
ni ngumu sana kuipata na hasa kupata ukweli kwani mtuhumiwa namba moja aliyepindisha historia ya nchi yenu ni aliyekuwa baba yenu wa taifa lenu. Haijalishi kuna mtu atachukia au la. that is the fact.Wadau , nahitaji msaada wa kitabu ambacho kina mtiririko mzuri wa historia na matukio ya nchi yetu..nikimaanisha historia ya Tanzania Kabla ya Kuwa Tanzania , na baada ya kuwa Tanzania.
Kwa hili nakuuunga mkono, kweli Wairaqw wapo serious. Nimefanya nao kazi kwenye baadhi ya vijiji huko Mbulu, kweli ni waaminifu, lakini usiombe ukaonyesha kuwadharau ujue umeumia. Pili nawapongeza sana kwa usimamizi kwenye ujenzi wa shule za sekondari za kata, yaani ni za kiwango hakuna kuchakachua.