Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Buswe; Lengo la matangazo ya vifo siyo kutoa taarifa kwa ndugu wa karibu tu bali kwa jamaa na marafiki wa wanafamilia husika. siyo rahisi kwa wafiwa kutoa taarifa kwa jamaa na marafiki wote, kuna uwezekano wa kusahau wengine. matangazo kwenye vyombo vya habari huondoa kasoro zinazoweza kujitokeza katika utoaji wa taarifa za vifo.

Sasa c mpaka huyo anayepewa hiyo taarifa awe anasikiliza radio kwa wakati huo?
 
huu ni utaratibu mzuri wacha watu wenye uelewa wafanye vile wanavyotaka si wanalipia matangazo kwa pesa yao wenyewe?? Wakati mwingine inabidi tuwe wakweli, maendeleo ni changa moto na uchochewa na vitu kama hivi vya ushindani na kujidai. Nadhani hii ndo inachangia maendeleo ya huko kaskazini ukilinganisha na pwani. Pia uchumi wa nchi yoyote ili ujengeke ni lazima jamii yake iwe na uelewa na uwezo wa kununua huduma ambazo zinatolewa na wafanyabiashara wao. Vyombo vya habari ni biashara vinahitaji hela kujiendesha, sasa kama wateja hawatakuwepo si vitakufa na watu watakosa hiyo huduma pamoja na ajira? kama matangazo ya vifo is one of the products vyombo vya habari vinauza kwa jamii, je kuna ubaya gani kwa wale wenye uwezo wa kuinunua hiyo huduma kufanya hivyo na kutangaza wanavyotaka wenyewe?
 
Jamani wakuu hamjambo!!!!
Nimekua nikisikia habari kuhusu baadhi ya makabila hapa tanzania. wengine utasikia ni wachoyo, wengine wakorofi wengine wabinafsi na wengine wazinifu.
Sasa kwenye hili la wazinifu nimekua nikisikia kuhusu wanyeramba, wanyaturu, warangi, wamakonde nk.
Je kuna yeyote mwenye taarifa nzuri kuhusu habari hizi?
Nashukuru kwa ushauri wenu
 
mi nachojua wahaya "ze nshomile" ndo leading ngonolizer wengine unawathngdhia tu.
 
Toa boriti lako kwanza, ndipo utoe kibanzi kwenye jicho la nduuguyo
 
Huwezi kujikimbia, ukabila ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo, there is no harm to talk about it, as long as hauvunji sheria.
kabila lako, ukoo wako haubadiliki we kama ni mmakonde ujue utakufa mmakonde, kama umezaliwa kwenye ukoo wa kimario(utakufa kama kimario) angalau dini na utaifa unaweza kubadili.

And I think sio mbaya kujua tabia za makabila mengine yanayokuzunguka.

kama ni ngumu kumeza shushia na maji au glass of wine
 
Taarifa zinaonesha kuwa Tanzania ina jumla ya makabila zaidi ya 120.

Kwa muono wangu, makabila ni moja kati ya urithi wa kipekee wa nchi husika.

Nimeona nianzishe thread hii itusaidie KUYAFAHAMU na KUYAJADILI makabila yaliyopo hapa Tanzania KWA FAIDA YA VIZAZI VYA SASA NA VIJAVYO hasa kwa kuzingatia kuwa wengi wa vijana wa sasa hatuna ufahamu wa historia ya makabila yetu

Tafadhali ningeomba mjadala uchukue sura ifuatayo

  1. Jina la kabila na mahali linapotoka (wilaya na mkoa)
  2. Asili ya kabila husika yaani Historia yake kwa ujumla (nasikia kuna makabila mengine asili yake ni Ethiopia, Somalia au Uganda) na waliingiaje Tanganyika....Tafadhali lengo hapa sio kuleta ubishani wa ukimbizi au la na sitarajii lilete taswira mbovu na ikitokea hivyo nitaomba Mods mtusaidie kuweka sawa
  3. Mfumo wa maisha wa kabila husika (ni nini utamaduni na mila za kabila husika mfano mavazi, chakula, na taratibu nyinginezo muhimu kuwafahamisha wanajamvi)
  4. Mengineyo - jambo lolote la kipekee kwa kabila husika ambalo ni muhimu kwa wanajamvi kulifuatilia
Nitajitahidi kufanya update ya page hii kwa kuweka tu orodha ya kila kabila litakalokuwa limejadiliwa ili kuweka sawa orodha ya makabila yetu tokea mwanzo wa thread hii...

Angalizo:
Tafadhali niombe mjadala huu uende vema na kwa ustaarabu na asiwepo mtu yeyote wa kuingiza lugha au chochote kitakachoashiria dhihaka au ubaguzi wa aina yoyote kwani siyo lengo la Thread hii. Kama huna ufahamu wa kutosha kwa kabila ni vema tu ukawa msomaji, nayo pia ni hekima

OMBI KWA MoDs: Sina uhakika kama jukwa hili ni sahihi, mnaweza hamisha kwenye jukwaa sahihi .... Hata hivyo ni vema kwa siku za usoni kufiukiria kuanzisha jukwaa litakalobeba thread zote za historia yetu

Ahsanteni na karibuni kwa mjadala
ili tupate fursa ya kufahamu kwa undani makabila yaliyopo nchini mwetu
 
Kuna kabila linaitwa Wandukulukudusucho, nasikia wametokea Eritrea. Wanapatikana wilaya ya Rorya mkoani Mara
 
MODS Ahsanteni kwa kuiunga thread yangu na hii......sikuwa najua kama kuna thread ilishaanzishwa japo nilitumia search option na sikuipata

Thanks again for linking it with this thread
 
1. Wapare- nimesikia hawa ni wachaga waliofukuzwa kwa sababu walikua wanachawia mpaka mvua hainyeshi wakafukuzwa uchagan!
2. Wameru- hawa ni wachaga waliona mlima meru wakazani ni copy ya mlima kilimanjaro wakaufuata ndo wakachanganyika na wamasai na waarusha waliokua pale mlimani.

hii si rasmi.
je wewe unahistoria nyingine!
 
Kwahiyo mpare ni mchaga na mmeru ni mchaga na mchaga ni mchaga na msambaa ni mchaga kila kabila ni wachaga?
 
Back
Top Bottom