Jacque Maritain
Member
- Mar 6, 2010
- 44
- 10
Buswe; Lengo la matangazo ya vifo siyo kutoa taarifa kwa ndugu wa karibu tu bali kwa jamaa na marafiki wa wanafamilia husika. siyo rahisi kwa wafiwa kutoa taarifa kwa jamaa na marafiki wote, kuna uwezekano wa kusahau wengine. matangazo kwenye vyombo vya habari huondoa kasoro zinazoweza kujitokeza katika utoaji wa taarifa za vifo.
mara ya mwisho kula ban ni ln??mi nachojua wahaya "ze nshomile" ndo leading ngonolizer wengine unawathngdhia tu.
Kuna kabila moja baya sana linaitwa hili lilianzisha 1977 linaitwa MAGAMBA hili hatulitaki TZ , linatumia UDINI kutugawa
mi nachojua wahaya "ze nshomile" ndo leading ngonolizer wengine unawathngdhia tu.