Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Nakuja kula dona kwa dada yangu mpendwa![emoji1]Teh karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja kula dona kwa dada yangu mpendwa![emoji1]Teh karibu
Mbuyaa aghaoo
Karibu sana, utalikuta tuNakuja kula dona kwa dada yangu mpendwa![emoji1]
Ni zaidi ya bi chauNi zaidi ya shilawadu
Wakurya hulelewa ktk mazingira/malezi ya kuwafanya wahimili kufanya kazi kwenye mazingira magumu eg. Jeshi n.k, wakurya ni wakarimu, wakurya wengi wanajua kuwa wizi ni njia halali ya kupata kipato(japo siyo wote), wakurya ni watafutaji wa mali ndiyo maana wametapakaa mijini na kila sehemu, wakurya ni jasiri bila kujali jinsia yao labda kama amekulia mjini, wakurya wanaongoza kwa kulima bangi huku wakisema kuwa ni dawa, wanakeketa na kutahiri wanaume, wanaoa wanawake wengi japo siyo wote, wanaoa binamu wa shangazi na mjomba ila siyo wa mama mdogo, wanauwezo mkubwa wa kurusha mishale kwa shabaha, pia ni wawindaji ktk mapori madogo na makubwa, wanapenda kumiliki silaha kwa ajili ya kujilinda au kuibia (kwa mfano: MWITA CHACHA MARWA,huyu alikuwa mwanajeshi aliyepigana VITA YA UGANDA lakini alichokifanya Tarime baada ya vita,imebakia stori).
Ni kabila zima na pia naona hata kwa Waruri, Wajita, Wakwaya, Wahacha,Wasweta,Wasurwa, Wasimbiti n.k pia hufanya hivyo na nami nawaunga mkono kwa kuwa ni jambo jema.
strong ruler hapo vipi?Wewe hatuoi binamu zetu hapo futa mura
Ukiwa mtu mwema huna haja ya kuwaogopa hata kidogo.
Ukiolewa na mkurya ukiwa muaminifu utafurahi ila sasa ukiwa kicheche utajuta kwa kipigo maana mkurya ana wivu nadhani anaweza kuongoza kwa wivu duniani.
Mkuu ukuryani ubabe ndio first priority, na ni lazima ujue kutumia silaha za jadi maana ukibanwa na haja usiku unasafiri mita mia tatu kuelekea chooni,kama ni mgeni ukibanwa night unapewa panga na mkuki kuelekea chooni,Wanajukwaa amani kwenu.
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa kufahamu maisha halisi ya kabila la Wakurya, mila na desturi zao. Bila shaka Wakurya wapo humu na ningependa kujifunza namna walivyo kama nilivyotangulia kusema hapo awali.
Karibu tuelimishane.
Kichuri ni mboga ya kikurya(mavi ya mbuzi yale ya kijan yaliyopo tumboni) hii mboga wakurya wanaipenda sana. Kama unataka kuoa sema sio kuwafahamu tu na kuwachora
Eeh mbane amang'a niiyeke?
Hizo ni fikra za watu wasioijua Tarime, anyway labda zamani ndo ilikuwa hivyo lakini sio leo. Tarime ni Wilaya kama zilivyo wilaya nyingine huku bara. Kuna mjini na vijijini, na mjini kuna mchanganyiko wa makabila though sio mengi sana lakin issue za mila sijui kutoweka choo ndani kwasababu za kiujasiri hazipo hizo. Labda kwa upande wa vijijini, huko siwez kukusemea coz hata nyumba zenyewe ni zile local (i mean zilizojengwa kwa miti na kuezekwa kwa nyasi) ambazo hata hivyo hazina hadhi ya kuweka choo ndani.Tarime unaweza kukuta nyumba nzuri,lakini choo ndani hakuna ,ati wanasema kuweka choo ndani ni uwoga,unatakiwa utoke nje usiku ukapambane na adui yako.sasa sjui unapambanaje na adui wakati umebanwa na tumbo la kuhara
Kana nabhalu tulinge mno
Kwahiyo kichuri kinapatikana kwenye mbuzi na kwenye ng'ombe hakipatikani?