Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Kichuri hupatikana kwenye wanyama wote wanaoliwa na wakurya isipokuwa tu kwenye hawa wanyama
1. Kondoo
2. Nguruwe
3. Sungura
4. Na wanyama jamii ya ndege
5. Nungunungu kwa wanaotumia japo wengi wao hawatumii
 
Wakurya hulelewa ktk mazingira/malezi ya kuwafanya wahimili kufanya kazi kwenye mazingira magumu eg. Jeshi n.k, wakurya ni wakarimu, wakurya wengi wanajua kuwa wizi ni njia halali ya kupata kipato(japo siyo wote), wakurya ni watafutaji wa mali ndiyo maana wametapakaa mijini na kila sehemu, wakurya ni jasiri bila kujali jinsia yao labda kama amekulia mjini, wakurya wanaongoza kwa kulima bangi huku wakisema kuwa ni dawa, wanakeketa na kutahiri wanaume, wanaoa wanawake wengi japo siyo wote, wanaoa binamu wa shangazi na mjomba ila siyo wa mama mdogo, wanauwezo mkubwa wa kurusha mishale kwa shabaha, pia ni wawindaji ktk mapori madogo na makubwa, wanapenda kumiliki silaha kwa ajili ya kujilinda au kuibia (kwa mfano: MWITA CHACHA MARWA,huyu alikuwa mwanajeshi aliyepigana VITA YA UGANDA lakini alichokifanya Tarime baada ya vita,imebakia stori).

Wewe hatuoi binamu zetu hapo futa mura
 
Ni kabila zima na pia naona hata kwa Waruri, Wajita, Wakwaya, Wahacha,Wasweta,Wasurwa, Wasimbiti n.k pia hufanya hivyo na nami nawaunga mkono kwa kuwa ni jambo jema.

Hapana sio kabila zima, labda baadhi ya matabaka
 
Wanajukwaa amani kwenu.

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa kufahamu maisha halisi ya kabila la Wakurya, mila na desturi zao. Bila shaka Wakurya wapo humu na ningependa kujifunza namna walivyo kama nilivyotangulia kusema hapo awali.

Karibu tuelimishane.
Mkuu ukuryani ubabe ndio first priority, na ni lazima ujue kutumia silaha za jadi maana ukibanwa na haja usiku unasafiri mita mia tatu kuelekea chooni,kama ni mgeni ukibanwa night unapewa panga na mkuki kuelekea chooni,
Maana huko lolote laweza kutokea na ukakabiliana nalo
Halafu ni muhimu sana kuwapa kichapo wapenzi wetu a.k.a mama watoto huo ndio upendo wa kweli sokoro
 
Kichuri ni mboga ya kikurya(mavi ya mbuzi yale ya kijan yaliyopo tumboni) hii mboga wakurya wanaipenda sana. Kama unataka kuoa sema sio kuwafahamu tu na kuwachora

Hiyo kitu huwa inapelekea mtu kuiba mbuzi ilimradi aipate.

Tamu sana ukiila kwa ugali wa muhogo uliochanganywa na mtama. Usipoangalia, utavimbiwa
 
Tarime unaweza kukuta nyumba nzuri,lakini choo ndani hakuna ,ati wanasema kuweka choo ndani ni uwoga,unatakiwa utoke nje usiku ukapambane na adui yako.sasa sjui unapambanaje na adui wakati umebanwa na tumbo la kuhara
Hizo ni fikra za watu wasioijua Tarime, anyway labda zamani ndo ilikuwa hivyo lakini sio leo. Tarime ni Wilaya kama zilivyo wilaya nyingine huku bara. Kuna mjini na vijijini, na mjini kuna mchanganyiko wa makabila though sio mengi sana lakin issue za mila sijui kutoweka choo ndani kwasababu za kiujasiri hazipo hizo. Labda kwa upande wa vijijini, huko siwez kukusemea coz hata nyumba zenyewe ni zile local (i mean zilizojengwa kwa miti na kuezekwa kwa nyasi) ambazo hata hivyo hazina hadhi ya kuweka choo ndani.
 
Back
Top Bottom