Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sie wazenji mbona mwatusahau yahe?
Takwimu hizi huenda hazijafanyiwa utafiti wa kutosha maana kuna makabila mengine yamepewa wasifu usio wenyewe, mleta thread fanya utafiti wa kina.
Eroh!! na sisi Wamasai utatuweka kabila gani?
Makabila ya wasomi "Wapare"???
Mmh! Wachoyo na wabahili wapi?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Na kabila gani inapenda kuacha wake zao vijijini na wao wako mjini tena kimara wapo kwa wingi,
na escudo zao usiwasahau
Mmh! Wachoyo na wabahili wapi?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
platozoom, ee bwana nakaa mbali na wewe.
Hahahaaaaaa, kofi la wapi platozoom? usije ukaniharibu reception nisiparw mwingine.Usikae mbali na mimi, miye na tabia tamu kama asali. Kwani kustuliwa kwa kofi moja ndo nini bana
kitu kidogo tu.
BTW Unajua kulee kuna kijiti cha maana.Halafu ukitaka kujua ubora wake mpaka tuna-export!!
Vipi utastua? ila uwe makini usije ukapanda mnazi!!!
ndo maana wanaweza kuweka akiba ya kupeleka watoto shule!!!!wapare ni wabahili mbayaa..
nafkiri huwajui wapare,mshana,mlacha,mchomvu,mchome,msuya.Nenda ofisi yeyote kubwa kama utawakosa wapare tena ktk ngazi za juu na za kati
hahaaa!
eti wapo kwa
wasomi lol!!!
Hahahaaaaaa, kofi la wapi platozoom? usije ukaniharibu reception nisiparw mwingine.
Kijiti nimeacha bana. Mie mama sasa hivi.