Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hakuna mtu anakubali ila kwao kibirizi huyu mzee..
Mpogoro pureBarnaba ni kabila gani?
Kuna muingiliano mkubwa kati ya watu wa Tanga na Kigoma main reason ikiwa ni shughuli za mkonge.. wengi wamelowea huko. Hawana habari na walikotokaNi kweli Mzee Majuto.alikuwa mbembe.Tanga alifanya kuhamia Tu.
Mi najua majuto kwao tangaHii hakuna mtu anakubali ila kwao kibirizi huyu mzee..
Tanzania wasanii wabembe toka kibirizi ninao wajua ni
- Mzee Majuto
- Christina Shusho
Kuna muingiliano mkubwa kati ya watu wa Tanga na Kigoma main reason ikiwa ni shughuli za mkonge.. wengi wamelowea huko. Hawana habari na walikotoka
Kumbe!!!Kuna muingiliano mkubwa kati ya watu wa Tanga na Kigoma main reason ikiwa ni shughuli za mkonge.. wengi wamelowea huko. Hawana habari na walikotoka
Waswahili bwana.Hahaaa kumbe JUX ni ndugu na HARMO RAPPER ??.yaani mbwembwe zote hizi kumbe yeye na mikorosho kabila moja??
Kigoma ni kwa nani yake ?Aisee kumbe wazaramo wana wasanii wengi hivi, maana hata Diamond ni Mzaramo kwa upande wa baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahreel ni mzanakiNa jux je??
Vanessa mdee- mpare
Mh temba - mchaga
Mabeste -;mchaga
Haika - mchaga
Nareel - sijui
Mr nice - mchaga
Snura - mchaga
Barnaba classic - mchaga
Barak de prince - mjaluo
Sent using Jamii Forums mobile app