Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Kabila la mtu ni kule alipozaliwa sio kule wazazi wake walipozaliwa.

Huwezi kusema mtu ni mchaga wakati kazaliwa uzaramoni, huyo ni mzaramo tu hata kama wazazi wake walizaliwa uchagani.

Free thinker. [emoji125] [emoji125]
Hii NI ngumu kwangu kuielewa!
Toa tafsiri nyepesi ili uweze kueleweka. Kwa kukusaidia sema: mtu kabila anachukua kwa baba yake au kwa mamaake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wasukuma wasanii wetu wa nguvu Mungu aliwapenda zaid

1 BANZA STONE mwana masanja

2 JAMES DANDU

3 STIVEN KANUMBA

dah walale mahala pema peponi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa Dandu dah!

Na mapigo yake ya kiKofi Olomide na korasi yake ile:

[emoji443][emoji443][emoji443]Kolobelaga lukumo lwane
Jaga ng'wigulya
Jaga ubagisha shikamoo
Abakolobela ng'weli..[emoji443][emoji443][emoji443]

Halafu anakupa....

[emoji443][emoji443][emoji443]Ng'wanamalia.
Nabiza wagalama
Nulunagaja gubugeni nadiko gwigashiji gogo
Mpaka lisumbe lyang'hana...[emoji443][emoji443]

Apumzike kwa amani Mtoto wa Dandu. Angekuwepo sijui angefika wapi...
 
Ni mzanaki toka butiama
Mbona anaonekana kama ni (Yego orriented?) maana Musoma kuna viukoo vingi wanavyoviita kabila lakini kimsingi ni makabila 3 tuu.
1. Wajaluo.... hawa wao wamejipambanua na hawana matabaka

2. Kuna kundi na akina MURA AMBAO wana vitofauti vidogovidogo lakini wnasikilizana

3. Kuna kundi la akinna WACHASUGU AMBAO NI yegos ambao mzizi wao nio wajita na wakerewe so sio kila anayetoka muzoma ni mkurya
 
Back
Top Bottom