Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Um
Hapana, Jide si Mkurya, ni Mwikizu, kabila Fulani liko wilayani Bunda sehemu moja inaitwa Nyamswa.
Umenikumbusha mbali nyamswa,nilikuwa nikitoka nyumbani rikizo nalala hapo na mpz wangu kabla sijaripoti shuleni kwa wasabàto Ikizu high school
 
Ndugu wa baba ambao walinipeleka Hadi kwao na wanaudugu na Steven Wassira
 
Back
Top Bottom