Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Nazani utakuwa umepata majibu yake...
Teh! Kila mtu akitokea Mara anajulikana kuwa mkurya na mkatili that's what Jide was trying to make clear to that particular guy. Amini nakuambia Jide sio mkurya, ndugu zake wanaishi manyamanyama Bunda, nawajua kina Masato wengine wanaishi musoma mjini, kina Webiro wengine wako USA na watoto wa Steven Wassira, na marehemu Kaka yake Wassira alikuwa baba yake Webiro niliyesoma nae na alikuwa mtu mzito tu bodi ya pamba kipindi hicho. Over
 
Ulianza kula kimasihara uko shule
Acha kabsa! Tulikuwa hatuna simu naenda kumsubilia pale stand nyamswa kwenye mti mkubwa kabsa umezungushiwa matofali ya kukalia. Nilikuwa nasoma pia na kijana mmoja anaitwa Manyoli walikuwa matajiri sana pande za Salama A njia ya kwenda Serengeti. Baba yake alikuwa anamiliki hotel za orange tree Mwanza na Musoma mjini huyu mzee alifia hotelini kwake Mwanza,kijana wake tulikuwa tulikuwa tunaweka kambi nyamswa hata siku tatu ndo tunaenda shule ni mwendo wa monde na kubanjuka tu Ujana huu jamani khaaa.
 
Mwamalili,
Miaka ipi hiyo?
Ulisoma na yule binti aliyekuwa na tatizo la kugawa kila jioni ikifika nyuma ya container hachagui na alikuwa hatosheki
 
Humu bado kuna watu nawashangaa, hivi mtu kabila anafuata kwa baba au mama? Ngoja niendelee kushangaa maajabu ya dunia.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Kabila la mtu ni kule alipozaliwa sio kule wazazi wake walipozaliwa.

Huwezi kusema mtu ni mchaga wakati kazaliwa uzaramoni, huyo ni mzaramo tu hata kama wazazi wake walizaliwa uchagani.

Free thinker. [emoji125] [emoji125]
Kabila la mtu ni nasaba ya baba yake haijalishi wamezaliwa wapi.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Teh! Kila mtu akitokea Mara anajulikana kuwa mkurya na mkatili that's what Jide was trying to make clear to that particular guy. Amini nakuambia Jide sio mkurya, ndugu zake wanaishi manyamanyama Bunda,nawajua kina Masato wengine wanaishi musoma mjini,kina Webiro wengine wako USA na watoto wa Steven Wassira, na marehemu Kaka yake Wassira alikuwa baba yake Webiro niliyesoma nae na alikuwa mtu mzito tu bodi ya pamba kipindi hicho. Over
Mimi kabila langu ni Msizaki halina uhusiano kabisa na Wakurya, natokea wilaya ya Bunda mkoani Mara.

Mwenyewe amesha sema... Wewe ni Nani mpka ubishee...

Hata Mimi wazee wangu walikuwa wazito na Mimi na ndugu zangu ni wazito pia...

Kuwa mzito kuna tatizo??
 
Back
Top Bottom