Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Sema ukweli wako-Sugu anaitwa Joseph Mbilinyi kijijini kwao ni Maweso Ruvuma,Jux-Juma Mpolopoto kakulia Dar ila kwa baba ni Morogoro haya nipe ukweli wako
Kuwa Morogoro hakumfanyi awe mpogoro maana Moro kuna makabila mengi sana sio wapogoro peke yao
 
Sheta -mngoni
Gelly wa rhymes-mngoni
Godzilla (r.i.p)-mngoni
Izo b-nyakyusa
Gigy-nyakyusa
Lulu diva-mpare
Marioo-mndengereko
Alikiba-manyema
Diamond-manyema
Mboso-mndengereko
Ruby-wa tanga(Sasa sijui kabila gani)
Nandy-mchaga
Maua sama-mchaga
Linasanga-m'bena


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787]

ARUSHA KWETU
 
G nako Mhehe
Bele 9 Mhehe
CHIDY BENZ, babaake NI Mzigua na mama Mhehe, lakini anajinasibisha na UHEHE hataki kuitwa Mzigua, anadai kuwa yeye ni Mhehe mnyalukolo.
 
Anafuata la mahali alipozaliwa
Si kweli, baba mchaga mama mchaga, mtoto amezaliwa mtwara ndio atakuwa mmakonde? Waza vizuri kisha wazua, mtoto asili hufata kwa baba. Hata kama baba mpare mama mmakonde, mtoto atakuwa mpare tu!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…