Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Msikilize tena. Baba yake ni mchaga, mama ndiyo mnyakyusa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikilize tena. Baba yake ni mchaga, mama ndiyo mnyakyusa.
Humu wa nyumbani hawajui hata majina ya makabila
Ndugu huna ujualo, tukutane jukwaa la mapishi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Anafuata la mahali alipozaliwa
Baba yake ni mzee Sepetu, alikuwa mnyamwezi, au labda ni wa nje ya ndoa. Ukinijibu kuwa wa nje ya ndoa nitakukubalia kuwa mnyiramba.Wema sepetu ni mnyiramba kama sio mnyaturu....sio mnyamwezi
Kama akiwa mtoto wa nje ya ndoa anachukua ubin wa mjomba, na si vinginevyopwani ukoo kwa mama uli share tu na mke wa kiluguru/kizaramo mtoto anachukua ukoo kwa mama
hapa umetubagua wamakonde😂😂😂Hahaaa kumbe JUX ni ndugu na HARMO RAPPER ??.yaani mbwembwe zote hizi kumbe yeye na mikorosho kabila moja??
we andazi kweli,unasema Tanzania ukabila unatusumbua sana halaf kenya wao watasemaje?Watanzania swala la ukabila linawasumbuwa sana!
Yaan kuna mtu anakaa anawaza ukabila tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko sipo bana utakutana na wamama wenzio.Ndugu huna ujualo, tukutane jukwaa la mapishi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Mkuu inategemea na kabila. Kuna patrilineal na matrilineal commnunities.Hivi kwa tamaduni zetu si mtoto huwa anafuata kabila la baba ?
Sawa kivyovyote wanavyojiita, jibu hoja ya msingiSio wamasai ni waarusha.
Hazingui,.kweli baba yake ni mngoni ila mama ni muha,tumecheza sana chandimu pale uwanja wa kizota mwanga sokoni kigomaHuyo ni Mngoni.
Sema anazingua watu kwa lafudhi ya kiha.
Anaitwa Ngonyani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mmama mwenzanguHuko sipo bana utakutana na wamama wenzio.
Pazi ni mzaramo , hakuna mndengeleko paziYeah sema Mbagala wanamnasibisha na undengereko, ila ni humo humo hatoki nje ya pwani
Yes ni kweli, yeye mwenyewe sugu anajiita chingaMbilinyi ni Wakinga ila wengi wapo Songea na Mbeya kibiashara tu, Ila Mama yake Sugu alikua Chinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyanwezi, huko singida ni kwa mama yakeWema sepetu ni mnyiramba kama sio mnyaturu....sio mnyamwezi