Makabila yanayoendana wakioana na ndoa ikadumu

Mchaga na Mhaya wanatoa combination nzuri sana ya familia. Hata kwenye biashara Mchaga na Muhaya wakiendana wanatoa kitu kimekamilika mfano JF hii ya Maxence Mello na Mike Mushi, Clouds ya Rugemalira Mutahaba na Joseph Kusaga.

Kusaga ni mjita
 
Wachagga hawaprndi kuwa controlled ndio maana wengi wanabiashara zao na miradi yao...au wanasoma kuclimb leader haraka...ukiwakuta kwenye hiyo combination ujue ni very beneficial mzee...
 
Sawa mrangii
 
Sababu ni ipi
Wachaga vs wanyakyusa

Hizi ndoa wazazi wakinyakyusa wanazipinga sana ....mtoto wao kuoa au kuolewa na wachaga ..........nadhani sababu inajulikana

Hata Mimi nikiwa mzazi.....ntakataa hizi ndoa
 
Mkuu embu nipe abcd la hili kabil la wandali au wanyia wa songwe Ni watu wanamna gani Hawa mnk Niko natak kufanya decision making nimpe nafsi au niingie mitini tu
 
Wachaga vs wanyakyusa

Hizi ndoa wazazi wakinyakyusa wanazipinga sana ....mtoto wao kuoa au kuolewa na wachaga ..........nadhani sababu inajulikana

Hata Mimi nikiwa mzazi.....ntakataa hizi ndoa
😅😂
Inshort haya makabila matatu
Wanyakyusa Wachaga Wahaya, wakioana inakua vurugu mechi, by nature wote wana Superiority Complex (Hali ya kujiona bora kuliko mtu mwingine).
Ndoa za namna hii wengi wanaishi kwa machale, utakuta kilamtu anajenga kwao au sehem kisiri siri, au kuanzisha miradi bila kumjulisha mwenza...
 
Mkuu embu nipe abcd la hili kabil la wandali au wanyia wa songwe Ni watu wanamna gani Hawa mnk Niko natak kufanya decision making nimpe nafsi au niingie mitini tu
Hawana shida hao watu from Mbeya huko, wapole wasikivu waelewa hawana makuu...
Shida ipo kwa ndug zao Wanyakyusa wapole wasikivu ila hawapendi kujishusha au kuchukuliwa poa poa, wana amini wanaweza kilakitu awe mwanamke au mwanaume hawajui kumtetemekea mtu
 
wahaya hatuwezi penda watu wa hovyo

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…