Makabila yanayoendana wakioana na ndoa ikadumu

Makabila yanayoendana wakioana na ndoa ikadumu

nimeeleza ukiona jina la mkoa maana yake makiba yote ya mkoa huo
Kwahiyo Mgogo na Mrangi unawaweka group moja kisa wote ni wa mkoa wa Dodoma au mjita na mkurya kisa wote ni mkoa wa Mara? Basi hautapata majibu sahihi kamwe.
 
😅😂
Inshort haya makabila matatu
Wanyakyusa Wachaga Wahaya, wakioana inakua vurugu mechi, by nature wote wana Superiority Complex (Hali ya kujiona bora kuliko mtu mwingine).
Ndoa za namna hii wengi wanaishi kwa machale, utakuta kilamtu anajenga kwao au sehem kisiri siri, au kuanzisha miradi bila kumjulisha mwenza

Kwahiyo Mgogo na Mrangi unawaweka group moja kisa wote ni wa mkoa wa Dodoma au mjita na mkurya kisa wote ni mkoa wa Mara? Basi hautapata majibu sahihi kamwe.
wap umeona nimesema Dodoma?
 
Muhaya na mchaga wanalandana sana wakioana wengi naona wanadumu sana hasa ikiwa mwanaume ndie mchaga,

Wanaume wa kichaga hawana shida sana kama wanawake, kwa mtizamo wangu,
 
Ndoa ili idumu ni kila mmoja mke au mume kuvumilia ujinga au uchafu wa mwenzie. Mfano Kuna kabila flani maarufu sana kwa misifa(sio kama Dully Syke🤣🤣🤣) Wanandoa wanavumiliana kweli lkn mke na mme kila mtu ni mchafu.
 
Mchaga na Mhaya wanatoa combination nzuri sana ya familia. Hata kwenye biashara Mchaga na Muhaya wakiendana wanatoa kitu kimekamilika mfano JF hii ya Maxence Mello na Mike Mushi, Clouds ya Rugemalira Mutahaba na Joseph Kusaga.
Kusaga ni mchaga mkuu?
Nijuavyo kusaga ni mwenyeji wa Bunda huko
 
Sina maana ya ukabila ila elimu ndogo kwenye mambo ya mahusiano unapaswa kuzingatia.

kuna baadhi ya makabila yakioana ndoa huwa n


a furaha na kudumu zaidi. Hii inatokana na utamaduni na dini/imani wengi wa kabila fulani kuwa na vitu ambayo vinafanya mtu wa kabila lingine kufurahishwa nao kulingana na matakwa ya tamaduni yake.
Utafiti huu unaleta matokeo kwa asilimia kubwa lakini siyo mara zote itakuwa hivyo kwani inaweza kuwa kinyume chake.

Makila yanayoendana Kuoana
Mkurya na Mrangi, msingida, mpwani .

mchaga na mrangi, msingida, masai, mbulu, tanga.

hehe na mrangi, ngoni, manda, nyasa, tanga, chaga.

sukuma na mgogo, nyamwezi, kurya.

mmakonde na kurya, ngoni.

mnyakyusa na chaga, kinga, bena.

muha na mrangi, pwani na tanga.

muhaya na sukuma, nyamwezi .

mpare na mrangi, singida na tanga.
NB. jina la mkoa maana yake makala yote ya mkoa huo.

sandawe na makabila yote isipokuwa Zenji, singida na Dodoma.

Makabila Ambayo hayaendani kabisa.
mbara na mzenji.
mgogo na hehe
mkurya na mngoleme, mhehe
mchaga na mpare.
masai na mbulu/Iraqwi
chaga na gogo
haya na chaga, kurya, gogo.

Zingatia ushauri huu atakama nimewasilisha kama na ruka kichurachura ila jitahidi kuelewa.
Huu ni mtazamo wako sio taifa zima
 
Back
Top Bottom