Makabila yanayoendana wakioana na ndoa ikadumu

nimeeleza ukiona jina la mkoa maana yake makiba yote ya mkoa huo
Kwahiyo Mgogo na Mrangi unawaweka group moja kisa wote ni wa mkoa wa Dodoma au mjita na mkurya kisa wote ni mkoa wa Mara? Basi hautapata majibu sahihi kamwe.
 

Kwahiyo Mgogo na Mrangi unawaweka group moja kisa wote ni wa mkoa wa Dodoma au mjita na mkurya kisa wote ni mkoa wa Mara? Basi hautapata majibu sahihi kamwe.
wap umeona nimesema Dodoma?
 
Muhaya na mchaga wanalandana sana wakioana wengi naona wanadumu sana hasa ikiwa mwanaume ndie mchaga,

Wanaume wa kichaga hawana shida sana kama wanawake, kwa mtizamo wangu,
 
Ndoa ili idumu ni kila mmoja mke au mume kuvumilia ujinga au uchafu wa mwenzie. Mfano Kuna kabila flani maarufu sana kwa misifa(sio kama Dully Syke🤣🤣🤣) Wanandoa wanavumiliana kweli lkn mke na mme kila mtu ni mchafu.
 
Mchaga na Mhaya wanatoa combination nzuri sana ya familia. Hata kwenye biashara Mchaga na Muhaya wakiendana wanatoa kitu kimekamilika mfano JF hii ya Maxence Mello na Mike Mushi, Clouds ya Rugemalira Mutahaba na Joseph Kusaga.
Kusaga ni mchaga mkuu?
Nijuavyo kusaga ni mwenyeji wa Bunda huko
 
Huu ni mtazamo wako sio taifa zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…