Makabila yanayoongoza kwa watu wengi wenye kipato kidogo na kikubwa nchini

Makabila yanayoongoza kwa watu wengi wenye kipato kidogo na kikubwa nchini

Wazaramo mji unatushinda kwa mapunguani mengi yaliokuwepo!! Tpa imepotea mikonon mwao miak y 85-90s n mpaka leo nafas zlzobak kwao ni ukarani tu! Ndio tunayoyaweza
 
embu tutajie wazaramo watano wenye ukwasi mwingi tuwajue.
 
mara nyingi sana jamii zenye maendeleo sanaa ndizo zinazoongoza kwa utofauti wa vipatoo

na kwa utofaut huo ni rahisi kuwaona wenye maisha mazuri na walochokaa/wasio na kipato kabsaaa ---- hasa uchaggani/wanyakyusa/wakinga/wahaya na wasukuma
Wasukuma wameendelea!?
 
Kwa mtazamo wangu
Makabika yenye watu wenye pesa ni haya.
1.Wachaga
2.wakinga
3.Wakurya
4.wasukuma(hawa wana pesa lakini hawajui kuzitumia)
5.wanyakyusa
6.waha
7.masai
8.wanyakyusa
9.wajaluo
Makabila yenye umaskini wa kutupwa ni haya
1.Nyiramba
2.Gogo
3.Mbulu
4.Handzabe
5.wazaramo
6.hehe
 
Ongezea hapo wana mpunga bila kujali zinapatikana kwa njia gani hapo tutakuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom