Makabila yatakayoendelea kutegemea elimu iwakomboe kiuchumi(ajira) yatashuka kimaendeleo

Wasambaa mzee hawategemei elimu kabisa tangu kuumbwa kwao watu wa biashara tu. Hata wasome biashara ni damuni
Ndugu abiria, asante kwa kujitambulisha wewe ni msambaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila wabongo kwa kuyapamba makabila huwa mnavuka mipakaa, wasambaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wasambaa wa wapi acha utani mzee.

Wasambaa ni manamba tangu enzi enzi

Wao kazi za ni za kutumia nguvu lkwa walio mjini wa kijijini ni kilimo.

Ukikuta msambaa kipanga basi ni kipanga kweli kweli.
Haswaaa
 
Utafanyaje biashara bila ya kuwa na Elimu sasa?

Makabila yote yanayoongoza Kwa biashara ndio hayohayo yenye Elimu.

Biashara bila elimu haiwezekan labda biashara ya madawa, Uchawi au ujambazi.
 
Mimi sio msambaa ila nakuambia kweli ishu za wasambaa kufanya biashara kuanzia startup ni wengi kuliko wachaga na makabila yote.

Namaanisha wachaga biashara zao za shortcut na mitaji mikubwa sana . Pia wanapata pesa kupitia elimu kitambo kama wahaya.

Wagosi ni fighter real yaani kuanza kuuza karanga mpaka kufika juu nakuambia fuatilia hilo kijana wa kisambaa anauza maji ya kufunga unakuta anaoa miaka kadhaa yupo mbali.

Ndugu abiria, asante kwa kujitambulisha wewe ni msambaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila wabongo kwa kuyapamba makabila huwa mnavuka mipakaa, wasambaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utafanyaje biashara bila ya kuwa na Elimu sasa?

Makabila yote yanayoongoza Kwa biashara ndio hayohayo yenye Elimu.

Biashara bila elimu haiwezekan labda biashara ya madawa, Uchawi au ujambazi.
Muwe mnasoma post nzima sio mnasoma vichwa vya habari mnakibilia ku comment, nimeshaweka wazi elimu ni muhimu lakini katika uzito wake sio kuiwekea uzito wote kwamba uitegemee iwe njia pekee ya maendeleo kwa ajira
 
Ok, sikuelewa vizuri, ni kweli huwa naona wasambaa wengi sana wanatembeza karanga na maji
 
Wasambaa wa wapi acha utani mzee.

Wasambaa ni manamba tangu enzi enzi

Wao kazi za ni za kutumia nguvu lkwa walio mjini wa kijijini ni kilimo.

Ukikuta msambaa kipanga basi ni kipanga kweli kweli.
Huwezi kunielewa kama unabisha fuatilia wagosi Wana biashara za kuanzia chini namaanisha elimu wanayo japo sio sana sema wasambaa sio popular
 
Ok, sikuelewa vizuri, ni kweli huwa naona wasambaa wengi sana wanatembeza karanga na maji
Si unawaona Tena wadogo wengi ninawajua vijana watano nimewazidi kipind namaliza form four walikuwa form one ila leo wako mbali .Dili za kuleta matunda na ni wadogo under 24 Wana watoto na mke yaani we acha tu ila ni watu wa dini sana wanaporomosha nyumba huko kigamboni.
 
Hakuna taifa linaloendelea bila Elimu...hizo Biashara zako asingekuwepo mvumbuzi wa Meli na Ndege ungefikaje huko Uchina kujumua biashara uje uuze masponchi ya kuongeza hipsi Magomeni Mapipa...ukijigundua hutambui umuhimu wa elimu wewe na kizazi chako mna tatizo kubwa SanΔ… mbeleni
 
Wasambaa wa wapi acha utani mzee.

Wasambaa ni manamba tangu enzi enzi

Wao kazi za ni za kutumia nguvu lkwa walio mjini wa kijijini ni kilimo.

Ukikuta msambaa kipanga basi ni kipanga kweli kweli.
Nasikitika wasambaa huwajui eti kilimo kilimo kip wanafanya wanalima na kabichi tu mazao wao mengi matunda hayana sijui kwenda daily shamba Kuna matunda damu, apple, peasi, mafyokxi ,parachichi na hata ndizi .

Ebu fuatilia wagosi sema sio wengi kaangalie lushoto hata town wapo kibao dar
 
Muwe mnasoma post nzima sio mnasoma vichwa vya habari mnakibilia ku comment, nimeshaweka wazi elimu ni muhimu lakini katika uzito wake sio kuiwekea uzito wote kwamba uitegemee iwe njia pekee ya maendeleo kwa ajira

Mbona mada yako ni fupi mkuu, hivyo nimeisoma.

Elimu ndio njia pekee Kwa maendeleo.
Labda Kama hujui maana ya elimu.

Bila elimu hakuna maendeleo wala hicho unachokiita biashara
 
Mbona mada yako ni fupi mkuu, hivyo nimeisoma.

Elimu ndio njia pekee Kwa maendeleo.
Labda Kama hujui maana ya elimu.

Bila elimu hakuna maendeleo wala hicho unachokiita biashara
Tatizo kubwa nchini hapa ni fikra iliyojengeka kwamba maendeleo ya elimu ni kwa njia ya kuajiriwa, misemo kama soma sana uje kuwa na ajira ndio inafunga watu akili.

Kina Mengi walisoma sana wakaajiriwa ajira safi lakini wakaingia kwenye biashara, nae huyu kijana Fred Vunjabei ni mkinga kasoma na akaajiriwa serikalini lakini akamuiga Mengi na kwa sasa ni mfanya biashara ana maendeleo sio kama Mengi lakink si haba.... Nadhani unaipata point yangu
 
APOSTO KUNA MUUJIZA HUKU
 
Ungekuwa umesoma ma waarabu na wasomali labda ungeelewa, wale watu wengi wanaishia form 4, wanainuliwa kwa mitaji tu na baada ya miaka mitano tu maendeleo yao na yako ni kama mbingu na ardhi... Elimu wanayotumia ni hesabu za kawaida kabisa, mambo mengine ya taaluma wameajiri watu wanaowalioa laki 5
 
Mimi nakuelewa Mkuu.

Hoja yangu hapa ni kuwa hayo makabila ambayo hayakupata elimu ni akheri yaendelee kuipambania elimu hata kama ni Ganda la kuwa la Jana chungu kaona kivunoπŸ˜€
 
kama profesa wa chuo kikuu , anasema katolewa jalalani , inaonesha elimu yetu ina tatizo mahali
 
sky soldier ww ni great thinker....unaona mbali, na una feel Hali halisi ya mtaani.

Watu wanaokubeza ni Kwa sababu wametazama neno moja tu 'elimu' hawajatazama maneno mengine zaidi.

Umeandika 'kuinuana' Hilo hawajaliona wao wamekazana na elimu tu.

Kimsingi, umeongea bonge la pointi. Na nataka nikwambie hata wengine wanakwama kwa sababu hawatazami details za ishus mbali mbali.

Ok, tuseme Hilo elimu ni Bora zaidi km wanavyozungumza (ingawa sikatai); SASA iweje wanaolia ugumu zaidi wa maisha ni wasomi kuliko wasio soma? Kwa nini iwe vice versa....

Naweza kujikuta naandika mengi Sana....lkn itoshe kukuambia kuwa jinsi ulivyofikiri ni hivyo ilivyo. Asikiaye na asikiaye.
 
Well said.,[emoji1376]
 
Acha kudanganya umuhimu wa Elimu uko pale pale,hata hiyo biashara inahitaji Elimu [emoji23][emoji23][emoji23]unajua hasara ya Ignorance?
 
Uko sahihi kabisa, professor John Dewey alisema" The aim of Education is not to prepare someone to live but Education itself is Life" nyerere pia alipokua anasisitiza Elimu ya Watu wazima, alisema Elimu haina mwisho, Long life education [emoji137][emoji137]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…