Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

wasambaa na wasukumaa wanatisha kwa lafudhi mbaya wamasai na wapemba wakiongea Mimi natamani waendelee wanafurahisha
 
Sambaa lafudhi tamuuu .... ... sikia lafudhi ya wandendeule ni full vichekesho kama nawasikia wakiongea muda huu...ni hatari sana.
 
Kuna kabila moja kule kigoma nimeisahau jina lake linalafudhi tamu sana.
 
wajaluo wananichekesha sana.
kuna hii ya huko nyanda za juu kusini, hainogi kwa mchepuko. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
j
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…