Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Amesema mnyakyusa na amesema anaichukia piaTaja lafudhi ya kwenu tuijadili kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema mnyakyusa na amesema anaichukia piaTaja lafudhi ya kwenu tuijadili kwanza
Uwe na siku njema, nakupenda my dHata mimi mpendwa wangu
Karibu sana Mkuu. Nitakupa mtoto mzuuuuri Sana ule naye bata! Uenjoy n lafudhi ya Kikwetu!Kuna wale jamaa wanaitwa wairaq wana rafudhi tamu sana.
Kumbe unajua mkuu, lafudhi yao ni nzuri sana maana hawana bass.Kuna wale jamaa wanaitwa wairaq wana rafudhi tamu sana.
Nitafurahi sana mkuuKaribu sana Mkuu. Nitakupa mtoto mzuuuuri Sana ule naye bata! Uenjoy n lafudhi ya Kikwetu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]Wasambaa wanachekesha sana.. lafudhi kitanga poa
Utakua mzigua weweWasambaa wanachekesha sana.. lafudhi kitanga poa
[emoji23]Ukipata kishtobe wa kitanga balaa tupu shehe wangu asubuh hiyo naulizwa "wataka chapati ya ngozi ngapi?" mi nimebaki nashangaa shangaa tu chapati ina ngozi? teh teh teh Tanga Raha.....
Wakasai toka Lubumbashi wana lafudhi ninayoipenda. Utasikia... moya tu inatoshaga
Weka mfano wa lafudhi mbaya ya kisamabaa tuone.wasambaa na wasukumaa wanatisha kwa lafudhi mbaya wamasai na wapemba wakiongea Mimi natamani waendelee wanafurahisha