Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
nilipoanza kuisoma nilidhani ni nantoombe mushi kumbe ... dwh.ila.wachaga noumer... japo mir mwenyewe wa kaskazini najitahidi kuiga wazaram.nashindwaNilijua utasema tuu. Eti wachaga, roho mbayaaa kufa hufi. Wachaga wamekufanya nini? Utakufa huku unawachukia. Mtu akikuzidi usimchukie jitahidi na wewe. Kila kitu hapa tz ni wachaga kuwa hata na aibu basi
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji134]Uwe na siku njema, nakupenda my d
tanga rahaaaaa wanawake wanaongea watamani umsikize siku nzima .... na mahabath wanayajua piaKaribuni kwentu tanga! Wadigo na wasegeju wanalafudhi nzuri mnoooo tamuu ajabu...
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji134]
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]Hahahahaha Unawasema Wakimataifa
Dah!! We Kiboko.Wakasai toka Lubumbashi wana lafudhi ninayoipenda. Utasikia... moya tu inatoshaga
aghrrrrrr umeniharibia siku...[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85]
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]
Hahahah kuwa mpole huyo ni binamu mkuuaghrrrrrr umeniharibia siku...
Hivi Wasegeju bado wapo?Karibuni kwentu tanga! Wadigo na wasegeju wanalafudhi nzuri mnoooo tamuu ajabu...
Lafudhi mbaya ni ya kizenji na ya kizaramo
mkulya =mkurya.Mkulya
Mimi huwa napenda unavyoandikaNapenda kuskia watu wa pemba wakiongea yaani wale wapemba hasa
Pia napenda lafudhi yetu ya ki zanzibar tanga Na mombasa