Hawa nao wanachekesha sana nimekaa nani umenikumbusha mbaliUmeshawai kuwasikia wandendeule kutoka namtumbo kila sentence bana wewe ...
Duh umenikumbusha siku niko mwanza nimekamata dem moja pale Villa park imekaa kisista duu e bhana lafudhi yake tu hadi mashine ililalaLive yan rafudhi yakisukuma akiiongea mdada mmmh chumba unahama
+Wabondeitanga pakee tena wadigo
Utadhani wanataka kutaapika wakiongeaKuna wale jamaa wanaitwa wairaq wana rafudhi tamu sana.
Umechemka hapo. Kwako mbaya lkn kwao iko poa sana.Lafudhi gani huwa unaona nzuri?
Zipi unaona mbaya?
Zipi zinakuchekesha?
Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.
Wafipa huwa naona lafudhi yao poa.
Wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.
Cc pretakuchekesha kwa lafudhi zao ndio uzuri wa kilugha chao
Nilijua tu Mnyaki wewe ndio maana umetuponda wasafwa..Lafudhi gani huwa unaona nzuri?
Zipi unaona mbaya?
Zipi zinakuchekesha?
Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.
Wafipa huwa naona lafudhi yao poa.
Wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.
We mbona unajistukia,mbona makabila kibao hapo juu yametajwa sio wachaga peke yake,sasa wewe povu la nini au kweli ndo mpo hvo.naunga mkono hojaTaja lafudhi ya kwenu tuijadili kwanza
Daaaah!hya bnalafudhi nzuri ni za watu wa tanga na mbaya kuliko zote ni za wachaga na wakurya
Yakheee umeguswa pabaya wewe!!huna adabu kabisaa na utakuwa mgogo ww
Na wewe ni muraa??Live yan rafudhi yakisukuma akiiongea mdada mmmh chumba unahama
Umeongezea chumvi mkuu tumeishi na wamakonde kwa muda mrefu lakini lugha hiyo mbona hakuna..!?Chacha bana chikirija nikwambie chipendi matani kabicha ! WAMAKONDE WANANIACHAGA HOI!
Usinene ukamaratanga pakee tena wadigo
Mimi nimemsikia bob Ludalah kwenye wimbo wake wa Julli anamalizaga kwa kusema "UCHICHIMAME WALA UCHIKAKE" ila wanashindwa kutofautisha kati ya si na chi kimatamshi.Umeongezea chumvi mkuu tumeishi na wamakonde kwa muda mrefu lakini lugha hiyo mbona hakuna..!?