Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

Lafudhi gani huwa unaona nzuri?
Zipi unaona mbaya?
Zipi zinakuchekesha?

Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.

Wafipa huwa naona lafudhi yao poa.

Wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.
Umechemka hapo. Kwako mbaya lkn kwao iko poa sana.
 
Lafudhi gani huwa unaona nzuri?
Zipi unaona mbaya?
Zipi zinakuchekesha?

Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.

Wafipa huwa naona lafudhi yao poa.

Wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.
Nilijua tu Mnyaki wewe ndio maana umetuponda wasafwa..
Ushawahi kumkuta Mchaga amabye hajatoka nje ya mkoa wao.?
Akiongea unaweza kulia..
 
Wapemba noma, mi naishi huku Pemba maeneo ya vitongoji. Mpaka slowly naanza kuadapt accent yao
 
Chacha bana chikirija nikwambie chipendi matani kabicha ! WAMAKONDE WANANIACHAGA HOI!
Umeongezea chumvi mkuu tumeishi na wamakonde kwa muda mrefu lakini lugha hiyo mbona hakuna..!?
 
Umeongezea chumvi mkuu tumeishi na wamakonde kwa muda mrefu lakini lugha hiyo mbona hakuna..!?
Mimi nimemsikia bob Ludalah kwenye wimbo wake wa Julli anamalizaga kwa kusema "UCHICHIMAME WALA UCHIKAKE" ila wanashindwa kutofautisha kati ya si na chi kimatamshi.
 
Back
Top Bottom