Makabila yenye mafanikio (kasoro wachaga), sehemu walizotokea hazina maendeleo kwasababu wanaogopa kurogwa wakitaka kurudi kufanya maendeleo

Ota lanye, embu tema mate chini

Aisee asilimia kubwa za koo za kichaga ni wachawi tena wachawi haswaa, muulize Mshana Jr akwambie
Hawa watu huwa hawapendi kabisa kusemea mabaya yao, mtu na akili zake anakwambia kabisa eti hakuna mchawi hata mmoja uchaggani😄
 
Wachanga wachawi mno lakini sio kujionyesha, hapo asiwadanganye mtu kabisa.
 
Hawa watu huwa hawapendi kabisa kusemea mabaya yao, mtu na akili zake anakwambia kabisa eti hakuna mchawi hata mmoja uchaggani😄
mimi ni mchaga wa machame, najua ninachozungumza mambo ni fireee, halafu kuna hawa wa marangu🔥🔥🔥🔥
 
Naunga mkono,kuna ukweli mchungu unaotesa wengi 🤣🤣
 
Nimekutana na watu wengi wa maeneo tofaut walichonieleza kuhusu makwao na ulichoeleza humu ni ukwel kabisa japo mchungu mfano ukelewe hata ukifaulu tu kwenda chuo ni mtihan weng huwa hawarud hata iwe likizo.
 
Umewahi kufika MOSHI au unaongea tuu
aliyekuambia UCHAGANI hakuna WAGANGA hakuna WACHAWI ni nani
hao jamaa ni wachawi sana
kilichowasaidia ni ile KUSOMA hvyo wengi wao uchawi hawautukuzi sana tofauti na makabira mengine
 
Sababu za kujenga ni zipi kiuchumi au ujenge ili upambe mji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kwa kina mangi wanaloga sana. Uru, Marangu, Kilema Rombo ni fire.
Kuna vichaa wengi mno kila koo sababu ya tamaa za mali n.k. Hayo makafara ya damu sasa! Ajali za mchongo n.k ili watu waliobaki wapige pesa
 
Nina wachaga wanna nawajua hawa katika watoto wao mmoja kwa nn ni chizi haswa wa kwanza Kama sio uchawi na kafara

Kufanya watoto matahira machizi yapo kibao ya kichaga uliza uambiwe Kama wahindi ndo uchawi huo
 
Hii ni point, unaweza kujenga nyumba nzuri ya kawaida ya kufikia siku umepeleka wageni wasikae chini ya mti
 
Kuna ile ya kujenga kwenye familia yenu/ kwa wazazi kwa maana kuliko waendelee kuishi kwenye nyumba ya matope unawaboreshea kidogo..sidhani kama alimaanisha assert au nyumba ya biashara.
Watu wengi wanapata aibu na kusemwa vibaya linapotokea tukio ambalo inabidi likafanyike au kufanyika nyumbani kwenu ulikozaliwa ambapo mazingira ya makazi huwa tofauti na duni ukilinganisha na yale unayoishi mjini.
 
Ila KWa Sasa wachanga na ushirikina haijalishi wa kununua au la wako juu Sana
 
Sababu za kujenga ni zipi kiuchumi au ujenge ili upambe mji?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uko Dar unapoona pako sawa kiuchumi hapakuanza na ghorofa, mikoa midogo midogo inayokuwa kwa sasa imeweza kutokana na uthubutu wa watu kujenga bila kujiuliza hayo maswala unayojaribu kuhoji.

Wailioishi Mwanza miaka ya 1985 watakuwa wanaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…