4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Vipi wanapuliza Sana ,Daah wahaya ni wachawi aisee.
Umeshawahi kutembelea vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro bwashee au unaongea tu. Waulize wamatumbi wenzako waliowahi kufika uchagani.Kila kabila linavutia kwake, mikoa yote bado ni masikini kwa ujumla wake.
Nimesema wapi mkinga mchawi. Mimi nimesema mchaga sio mchawi.Uliona wapi mkinga mchawi?
Au na wewe ni mchawi?
Kama hao walowekeza Dar miaka hiyo walikuwa wanawaza kama unavyowaza wewe basi hayo maghorofa wangeyajenga Hadi chanika na kibamba na sio karikoo na postaHata uko Dar unapoona pako sawa kiuchumi hapakuanza na ghorofa, mikoa midogo midogo inayokuwa kwa sasa imeweza kutokana na uthubutu wa watu kujenga bila kujiuliza hayo maswala unayojaribu kuhoji.
Wailioishi Mwanza miaka ya 1985 watakuwa wanaelewa.
Uchagani sehemu gani?Mbona hata Uchagani uchawi upo
Mwezi wa kumi nambili Wachaga hurudi kwao kufanya nini???Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina hawa jamaa ni weupe kama mtu alietoka bush kwenda Dar, hata kama watauhitaji ni ule wa kununua maana hata kumkuta sangoma huko kwao ni sawa na kutafuta bikra hodi ya wazazi.
Makabila mengi yenye watu walofanikiwa, maendeleo yao huwa yanaonekana wakiwa mjini ama nje ya wilaya walizotokea, huku mijini watajiachia sana kwenye nyumba nzuri, gari za kifahari, kuishi kitajiri, n.k. lakini breki zote zinafungwa ukiyapima maendeleo yao kulingana na sehemu walizotokea.
Kiukweli wala huwa sio kosa lao kuto endeleza sehemu walizotokea, hii yote huwa ni kwasababu ya hofu ya kupigwa vipapai, mfano kuna sehemu huko makambako nyumba hazina bati, watu wana uwezo wa kuweka bati lakini wanaogopa kuweka bati kwa hofu ya vipapai.
Hali hii huwa inapelekea hata watu wasirudi sehemu zao walizotokea hasa habari zikisambaa kijijini kwamba wametoboa mjini.
Wakinga wanafanya mapinduzi makubwa ya kutisha kwenye biashara kiasi kwamba Kariakoo wao ndio wameikamata lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Wapo wasukuma migodini, wenye kazi nzuri, n.k. wametokea Geita, shinyanga, Simyu, lakini wanahofia kurudi kwao kupaendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Kuna maprofesa wengi sana wametokea Ukerewe lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Kuna wahaya wengi wameelimika na wana kazi nzuri wametokea bukoba lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Makabila ya koa wa Mara yamerundikana Jeshini huko wapo wenye vyeo vikubwa lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
HITIMISHO
Ushirikina ni adui wa maendeleo.
Ha ha ha ha ha ha kumbe ndiyo maana umekuja na mada hii ya kujisifu,kumbuka,'NYANI HUWA HAONI KUNDULE"Kwenye ukoo wenu. Usi generalize mambo. Mimi mchagga pia ila kwetu uchawi haupo.
Na kama upo labda uchawi wa kimaendeleo
Mhhhh mimi kwetu ni Marangu ukikuta mchawi labda kanunua ila kiasili hakuna uchawi hukoKuna wachawi kama wamarangu? Sehemu gani hiyo isiyokuwa na uchawi Tz hii, halafu mbona huwa mnapenda kujiengua sana kwenye kila linaloonekana baya??
Yani mtu mzima unadiriki kabisa kusema Uchaggani hakuna uchawi??[emoji1]
Basi makabila yote hayana uchawi (maana hata nikikwambia uthibitishe uwepo wa uchawi kwa macho huwezi)
Ni kweli kabisaMchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina hawa jamaa ni weupe kama mtu alietoka bush kwenda Dar, hata kama watauhitaji ni ule wa kununua maana hata kumkuta sangoma huko kwao ni sawa na kutafuta bikra hodi ya wazazi.
Makabila mengi yenye watu walofanikiwa, maendeleo yao huwa yanaonekana wakiwa mjini ama nje ya wilaya walizotokea, huku mijini watajiachia sana kwenye nyumba nzuri, gari za kifahari, kuishi kitajiri, n.k. lakini breki zote zinafungwa ukiyapima maendeleo yao kulingana na sehemu walizotokea.
Kiukweli wala huwa sio kosa lao kuto endeleza sehemu walizotokea, hii yote huwa ni kwasababu ya hofu ya kupigwa vipapai, mfano kuna sehemu huko makambako nyumba hazina bati, watu wana uwezo wa kuweka bati lakini wanaogopa kuweka bati kwa hofu ya vipapai.
Hali hii huwa inapelekea hata watu wasirudi sehemu zao walizotokea hasa habari zikisambaa kijijini kwamba wametoboa mjini.
Wakinga wanafanya mapinduzi makubwa ya kutisha kwenye biashara kiasi kwamba Kariakoo wao ndio wameikamata lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Wapo wasukuma migodini, wenye kazi nzuri, n.k. wametokea Geita, shinyanga, Simyu, lakini wanahofia kurudi kwao kupaendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Kuna maprofesa wengi sana wametokea Ukerewe lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Kuna wahaya wengi wameelimika na wana kazi nzuri wametokea bukoba lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Makabila ya koa wa Mara yamerundikana Jeshini huko wapo wenye vyeo vikubwa lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
HITIMISHO
Ushirikina ni adui wa maendeleo.
Hakuna kabila kisilokuwa na uchawi, ukiweza kujiuliza kuwa kabla ya ujio wa dini wachagga waliishije kiimani utanielewa.Mhhhh mimi kwetu ni Marangu ukikuta mchawi labda kanunua ila kiasili hakuna uchawi huko
Hujafanya utafiti wa kutosha. Tangu lini mkurya akashindwa kuendeleza kwao kwa sababu ya uchawi ? Haya mambo sasa hivi yamelitwa na wakati. Sasa hivi watu wanapiga mijengo tu huko vijijini bila hofu yoyote nenda huko usukumani ukaone na hata Bukoba.Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina hawa jamaa ni weupe kama mtu alietoka bush kwenda Dar, hata kama watauhitaji ni ule wa kununua maana hata kumkuta sangoma huko kwao ni sawa na kutafuta bikra hodi ya wazazi.
Makabila mengi yenye watu walofanikiwa, maendeleo yao huwa yanaonekana wakiwa mjini ama nje ya wilaya walizotokea, huku mijini watajiachia sana kwenye nyumba nzuri, gari za kifahari, kuishi kitajiri, n.k. lakini breki zote zinafungwa ukiyapima maendeleo yao kulingana na sehemu walizotokea.
Kiukweli wala huwa sio kosa lao kuto endeleza sehemu walizotokea, hii yote huwa ni kwasababu ya hofu ya kupigwa vipapai, mfano kuna sehemu huko makambako nyumba hazina bati, watu wana uwezo wa kuweka bati lakini wanaogopa kuweka bati kwa hofu ya vipapai.
Hali hii huwa inapelekea hata watu wasirudi sehemu zao walizotokea hasa habari zikisambaa kijijini kwamba wametoboa mjini.
Wakinga wanafanya mapinduzi makubwa ya kutisha kwenye biashara kiasi kwamba Kariakoo wao ndio wameikamata lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Wapo wasukuma migodini, wenye kazi nzuri, n.k. wametokea Geita, shinyanga, Simyu, lakini wanahofia kurudi kwao kupaendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Kuna maprofesa wengi sana wametokea Ukerewe lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Kuna wahaya wengi wameelimika na wana kazi nzuri wametokea bukoba lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
Makabila ya koa wa Mara yamerundikana Jeshini huko wapo wenye vyeo vikubwa lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.
HITIMISHO
Ushirikina ni adui wa maendeleo.
Hebu acha ushamba basi.Umeshawahi kutembelea vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro bwashee au unaongea tu. Waulize wamatumbi wenzako waliowahi kufika uchagani.
Mchaga na mnyantuzu ni pete na kidole,watoa kafara sana ,sema wewe ni dogo sana kiumriUliwahi kuona wapi mchagga mchawi mzee?
Tembea uone mkuu. Hakuna sehemu za vijijini zilizoendelea kama za uchagani.