Makabila yenye mafanikio (kasoro wachaga), sehemu walizotokea hazina maendeleo kwasababu wanaogopa kurogwa wakitaka kurudi kufanya maendeleo

Kuna Dada mmoja alikuwa akiuza duka la Shangazi akamwibia pesa (Wachaga),Dada akawa anakataa hajaiba ,yule Aunt akamwambia dada kama kweli hujaiba twende nyumbani (Uchagani) tukachinje mbuzii,dada alikataa katakata akamwambia hawezi kwenda kushiriki kuchinja mbuzi ,Sasa Kama Uchagani hakuna uchawi mbuzi anahusikaje hapo,si uchawi huo?
 
Hata uko Dar unapoona pako sawa kiuchumi hapakuanza na ghorofa, mikoa midogo midogo inayokuwa kwa sasa imeweza kutokana na uthubutu wa watu kujenga bila kujiuliza hayo maswala unayojaribu kuhoji.

Wailioishi Mwanza miaka ya 1985 watakuwa wanaelewa.
Kama hao walowekeza Dar miaka hiyo walikuwa wanawaza kama unavyowaza wewe basi hayo maghorofa wangeyajenga Hadi chanika na kibamba na sio karikoo na posta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina hawa jamaa ni weupe kama mtu alietoka bush kwenda Dar, hata kama watauhitaji ni ule wa kununua maana hata kumkuta sangoma huko kwao ni sawa na kutafuta bikra hodi ya wazazi.

Makabila mengi yenye watu walofanikiwa, maendeleo yao huwa yanaonekana wakiwa mjini ama nje ya wilaya walizotokea, huku mijini watajiachia sana kwenye nyumba nzuri, gari za kifahari, kuishi kitajiri, n.k. lakini breki zote zinafungwa ukiyapima maendeleo yao kulingana na sehemu walizotokea.

Kiukweli wala huwa sio kosa lao kuto endeleza sehemu walizotokea, hii yote huwa ni kwasababu ya hofu ya kupigwa vipapai, mfano kuna sehemu huko makambako nyumba hazina bati, watu wana uwezo wa kuweka bati lakini wanaogopa kuweka bati kwa hofu ya vipapai.

Hali hii huwa inapelekea hata watu wasirudi sehemu zao walizotokea hasa habari zikisambaa kijijini kwamba wametoboa mjini.

Wakinga wanafanya mapinduzi makubwa ya kutisha kwenye biashara kiasi kwamba Kariakoo wao ndio wameikamata lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Wapo wasukuma migodini, wenye kazi nzuri, n.k. wametokea Geita, shinyanga, Simyu, lakini wanahofia kurudi kwao kupaendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Kuna maprofesa wengi sana wametokea Ukerewe lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Kuna wahaya wengi wameelimika na wana kazi nzuri wametokea bukoba lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Makabila ya koa wa Mara yamerundikana Jeshini huko wapo wenye vyeo vikubwa lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

HITIMISHO
Ushirikina ni adui wa maendeleo.
Mwezi wa kumi nambili Wachaga hurudi kwao kufanya nini???
 
Kuna wachawi kama wamarangu? Sehemu gani hiyo isiyokuwa na uchawi Tz hii, halafu mbona huwa mnapenda kujiengua sana kwenye kila linaloonekana baya??

Yani mtu mzima unadiriki kabisa kusema Uchaggani hakuna uchawi??[emoji1]

Basi makabila yote hayana uchawi (maana hata nikikwambia uthibitishe uwepo wa uchawi kwa macho huwezi)
Mhhhh mimi kwetu ni Marangu ukikuta mchawi labda kanunua ila kiasili hakuna uchawi huko
 
Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina hawa jamaa ni weupe kama mtu alietoka bush kwenda Dar, hata kama watauhitaji ni ule wa kununua maana hata kumkuta sangoma huko kwao ni sawa na kutafuta bikra hodi ya wazazi.

Makabila mengi yenye watu walofanikiwa, maendeleo yao huwa yanaonekana wakiwa mjini ama nje ya wilaya walizotokea, huku mijini watajiachia sana kwenye nyumba nzuri, gari za kifahari, kuishi kitajiri, n.k. lakini breki zote zinafungwa ukiyapima maendeleo yao kulingana na sehemu walizotokea.

Kiukweli wala huwa sio kosa lao kuto endeleza sehemu walizotokea, hii yote huwa ni kwasababu ya hofu ya kupigwa vipapai, mfano kuna sehemu huko makambako nyumba hazina bati, watu wana uwezo wa kuweka bati lakini wanaogopa kuweka bati kwa hofu ya vipapai.

Hali hii huwa inapelekea hata watu wasirudi sehemu zao walizotokea hasa habari zikisambaa kijijini kwamba wametoboa mjini.

Wakinga wanafanya mapinduzi makubwa ya kutisha kwenye biashara kiasi kwamba Kariakoo wao ndio wameikamata lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Wapo wasukuma migodini, wenye kazi nzuri, n.k. wametokea Geita, shinyanga, Simyu, lakini wanahofia kurudi kwao kupaendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Kuna maprofesa wengi sana wametokea Ukerewe lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Kuna wahaya wengi wameelimika na wana kazi nzuri wametokea bukoba lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Makabila ya koa wa Mara yamerundikana Jeshini huko wapo wenye vyeo vikubwa lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

HITIMISHO
Ushirikina ni adui wa maendeleo.
Ni kweli kabisa
 
Kama kuna ukweli hivi,
Shemeji yangu alikua ameolewa na mtu wa kigoma, siku wameenda ukweni aliachana na mmewe, mjini wanaishi kifahari kijijini nyumba haina bati wanalalia ngozi
 
Mhhhh mimi kwetu ni Marangu ukikuta mchawi labda kanunua ila kiasili hakuna uchawi huko
Hakuna kabila kisilokuwa na uchawi, ukiweza kujiuliza kuwa kabla ya ujio wa dini wachagga waliishije kiimani utanielewa.

Kimsingi hata mimi naweza sema wasukuma au waha sio wachawi kabisa, na hauwezi kuwa na namna ya kuipinga kauli yangu kwa ushahidi kwasababu uchawi hauonekani. Either wa kununua au born-with bado ni ushirikina tu.
 
Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina hawa jamaa ni weupe kama mtu alietoka bush kwenda Dar, hata kama watauhitaji ni ule wa kununua maana hata kumkuta sangoma huko kwao ni sawa na kutafuta bikra hodi ya wazazi.

Makabila mengi yenye watu walofanikiwa, maendeleo yao huwa yanaonekana wakiwa mjini ama nje ya wilaya walizotokea, huku mijini watajiachia sana kwenye nyumba nzuri, gari za kifahari, kuishi kitajiri, n.k. lakini breki zote zinafungwa ukiyapima maendeleo yao kulingana na sehemu walizotokea.

Kiukweli wala huwa sio kosa lao kuto endeleza sehemu walizotokea, hii yote huwa ni kwasababu ya hofu ya kupigwa vipapai, mfano kuna sehemu huko makambako nyumba hazina bati, watu wana uwezo wa kuweka bati lakini wanaogopa kuweka bati kwa hofu ya vipapai.

Hali hii huwa inapelekea hata watu wasirudi sehemu zao walizotokea hasa habari zikisambaa kijijini kwamba wametoboa mjini.

Wakinga wanafanya mapinduzi makubwa ya kutisha kwenye biashara kiasi kwamba Kariakoo wao ndio wameikamata lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Wapo wasukuma migodini, wenye kazi nzuri, n.k. wametokea Geita, shinyanga, Simyu, lakini wanahofia kurudi kwao kupaendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Kuna maprofesa wengi sana wametokea Ukerewe lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Kuna wahaya wengi wameelimika na wana kazi nzuri wametokea bukoba lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

Makabila ya koa wa Mara yamerundikana Jeshini huko wapo wenye vyeo vikubwa lakini wanahofia kurudi kwao kuendeleza kwasababu ya kuogopa vipapai.

HITIMISHO
Ushirikina ni adui wa maendeleo.
Hujafanya utafiti wa kutosha. Tangu lini mkurya akashindwa kuendeleza kwao kwa sababu ya uchawi ? Haya mambo sasa hivi yamelitwa na wakati. Sasa hivi watu wanapiga mijengo tu huko vijijini bila hofu yoyote nenda huko usukumani ukaone na hata Bukoba.
 
Umeshawahi kutembelea vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro bwashee au unaongea tu. Waulize wamatumbi wenzako waliowahi kufika uchagani.
Hebu acha ushamba basi.

Wewe pia umewahi kutembelea vijiji vyote vya Kigoma au Mara? Tunaongea kwa reference zenye tija. Unapoambiwa TZ masikini kiuchumi, miundombinu n.k, uwe unaelewa. Utofauti ni mdogo, karibu mikoa yote ina umasikini wa kutupwa.

Nimerejea kauli ya JPM, nakuongezea na ya Nyerere. Kwa ujumla kila mkoa bado hali si shwari.
 
Back
Top Bottom