Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Kila imani ni njema kwa muhusika flan au mbaya kulingana na mapokeo ya mtu,ndiomaana kila upande una wafia dini,tuachane na hayo mkuu,twendelee kuchangia mada,ila nikupongeze tena
Hapo ndipo unapokosea.

Mwenyezi mungu ni mmoja, hawezi kuwa na dini zaidi ya moja ya kumfikia kwake.
 
Wachunguze wanawake wote watokao mazingira ya pwani
 
Hapo ndipo unapokosea.

Mwenyezi mungu ni mmoja, hawezi kuwa na dini zaidi ya moja ya kumfikia kwake.
Upo sahihi,dini ya kweli ni moja tu na mara nyingi kila mtu atavutia upande wake kwa toa ubora wao na madhaifu ya wengine,ila mkuu ili tusiharibu thread ya mtoa mada naomba hii mada ya dini tuachane nayo,kwa uzoefu wako ushawai skia tamaduni za kabila gan ambazo ukaona hazifai kumuandaa binti kuwa mke?
 
Wapare sio poa kabisa..! Na sio wazuri kwa afya ya akili na ustawi wa mwanaume! Katika makabila ambayo sitaki kusikia ni hawa wapare!
Kuna mmoja jirani hapa anaishi na binti wa kipare..dadeki binti ni bahiri yaani akiachiwa let say buku 10 anabana hiyo anaweza mlisha jamaa hata dagaa alafu kila wiki kanatuma hela kwa mama yake jamaa siku akiwa hana hata mia binti haelewi na hata kama ana akiba ndani hatoi hela yake! Jamaa anadalaliwa sana..! Sio wife material kabisa.!
 
Wale hawajali wewe wa kwao au sio wakwao.
Madame unasimama na mwanume smart basi unamlambisha lolo.
Yani wao kijana handsome ni kosa kwao hata awe msukuma.
bhebhe nyanda lekaga etuja...kwamba wasukuma hatuna haki ya kulambishwa kimasihara au?
 
bhebhe nyanda lekaga etuja...kwamba wasukuma hatuna haki ya kulambishwa kimasihara au?
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Wasukuma ndugu zangu kaka huwa napenda watolea mifano.
Mie mnyamwezi nduguu.
 
Mke ambae anawasiwasi wa kuachika muda wowote huyo ni hatari sana kwasababu atakuiba mno ili akajenge kwao kwasababu anajua mguu mmoja nje mguu mmoja ndani,huku pwani ni kuchafu sana unakuta binti wa miaka 24 kaolewa mpaka mara 3 unadhani huyo mwanamke anahisia tena?
 
Nina ostadh wangu mmoja.alioa mrangi tena wale weupeeeee km mwarabu.bwana wee si akaenda kutembea oman.aliporudi tu akadai talaka.jamaa akahoma kutoa talaka ,lkn mwisho demu kafika mpk kwa mahakamani ili apewe talaka mjama alipoona yamekiwa mengi akamiacha huku anampenda .naifanaosja na muvi ya golden boy
 
Mkuu naomba unielimishe hili kuhusu sababu zinazoweza fanya wanandoa wakiislam kupeana talaka,maana kwa upande wetu wakristo msingi pekee wa talaka ni uasherati/uzinzi vipi kwa wenzetu vitu/kitu gan hususa kikitokea kinahalalisha talaka
Ziko sababu nyingi baadhi ya sababu hizo ni Uzinzi/uasherati,unyanyasaji wa kimwili/kihisia,Kutopatana kwa kudumu,au tabia yoyote inayotishia ustawi na utulivu wa ndoa.
Nadhani lugha niliyotumia imeeleweka vizuri.
 
Mambo ya ndani ya ndoa za watu umeyajuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…