Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Wanawake wa Kikristo wanasumbua kwenye ndoa kuliko wa kiislam sababu hawana chance ya competition hivyo ujisahau.
Mwanamke wa kiislam ni sawa na mpangaji adabu na tabia yake ndio uhakika wa kudumu kwake kwenye ndoa akicheza TU hana ndoa akionewa huruma ataletewa mke WA pili hivyo ukaa kwa adabu
Hata mahakamani ndoa za Kikristo ndio zinaongoza kwa talaka sababu ya kiburi cha maandiko,ukisaini nae TU cheti huyo ni mume mwenzako mnaanza nivute nikuvute anaacha wajibu wake anataka kuingilia wako.
Umeongea ukweli mtupu aisee tunashuhudia mitaani wanaume wa kikristo wanavyoteseka unakuta mwanamke ni mbabe na hana cha kutishiwa na mwanaume ana uwezo wa kuanzisha mvurugano muda wowote na mkienda mahakamani anashinda yeye kutokana na mifumo iliyowekwa na mahakama zetu wanawake wanasikilizwa zaidi wakiaminika kuwa ni wanyonge kumbe unyonge ilikuwa enzi zile za 1975 sio leo.
Kitu kingine mtu akisema watu wa pwani au waislamu ndoa zao zinaongoza kuvunjika au wanaongoza kutoa talaka labda anaongelea ile karatasi ya ushahidi wa ndoa kuvunjika lakini anasahau pia kwenye ukristo kuna ndoa nyingi zinakuwa zishavunjika yaani unakuta mke anaishi kivyake na mme anaishi kivyake sehemu tofauti na mke unakuta anaishi na mwanamme mwingine kama mme wake na mme naye anaishi na mwanamke mwingine na wanazaa watoto kabisa ila officially ndoa inayotambulika ni ile ya mwanzo lakini hawaruhusiwi kuandika talaka mwisho wa siku wanabaki na maumivu ya kudumu.
Sasa kwenye uislamu kwa kuliona hilo ndio kukawa na option ya kutoa talaka ili ndoa inapofikia kugeuka na kuwa uhasama/uadui watu waachane kila mtu akaanze maisha yake mapya.
 
Boss unataka Kuoa Mrangi ??? Kama unataka Karibu. Utanikuta hapa BICHA. Ila ujiandae kulia na Kupigiwa.
Una chuki binafsi na warangi wewe sio bure. Haiwezekani umekomaa tu warangi malaya utadhani makabila yanayojiuza mijini warangi wapo.

Hakuna mrangi mjinga wa kujiuza wanajua umuhimu wa ndoa na wamelelewa kwenye maadili ya dini.

Kuna kitu warangi wamekufanya sio bure kwa mwanaume kuwa na gubu kiasi hiki.
 
Mwanaume uliekamika unasonya?
Tafiti za kisayansi zinazema mwanaume aliyekamilika kwa wastani wa siku huwa anasonya zaidi ya mara mia moja. Visababishi vya kusonya ni mke kumkorofisha, makonda wa daladala, fujo za bodaboda barabarani, kutoa mabaki ya chakula kwenye meno, msonyo baada ya kutafakari jambo na kushindwa kupata jibu hivyo kukubaliana na hali, kusifia kitu kizuri mfano mchezaji wa yanga anaejua kufunga na kukata cross nyingi, utamu wa mziki, kusifia tako la mwanamke anayepita barabarani, maandalizi ya kubishana akiwa na uhakika wa taarifa, wakati wa kujinyoosha baada ya usingizi wa mchana, kabla ya kutamka neno " haya bwana". Etc.

Mwanaume aliyekamilika anasonya vizuri tu.
 
Wanawake wa hayo makabila wanajua kutafuta hela ndio maana hawapendi kunyanyaswa.
Kwan ukiwa unatafuta hela kunyanyaswa ndio inaisha mbona kunyanyaswa kupo pale pale kama ni mwanamke mwenye huo mkosi wa kunyanyaswa? [emoji848]

Wanaume hawanyanyasi kwasababu mwanamke hana hela wananyanyasa kwasababu hawajui kuishi na mwanamke kwa upendo.
 
Kuna mawili hapa. Uhakika wa kuendelea kuwa mke vs Wasiwasi wa kuachika muda wowote. Ukweli ni kuwa mwanamke mwenye wasiwasi wa kuachika muda wowote ndiye atakuwa mbaya kwenye ndoa kuliko mwenye uhakika wa kutoachika. Yule anayeweza kuachika muda wowote kwanza hana uhakika kama hataachika hata kama atanyenyekea namna gani. Na mbaya zaidi anaweza kuletewa ''washindani'' wenye kutumia kila aina ya hila muda wowote. Pili ni lazima atakuwa anajitayarisha kuwekeza kwa sababu muda wowote anajua anaweza kuambiwa nenda zako.
Maustadhi ni wakorofi, anaweza kutana na tako huko nje limevaa baibui akarudi nalo ndani halafu anakuja mwambia mke wake wa sasa kuwa ameongeza mke na hapo amekwisha kamilisha kila kitu.
 
Tafiti za kisayansi zinazema mwanaume aliyekamilika kwa wastani wa siku huwa anasonya zaidi ya mara mia moja. Visababishi vya kusonya ni mke kumkorofisha, makonda wa daladala, fujo za bodaboda barabarani, kutoa mabaki ya chakula kwenye meno, msonyo baada ya kutafakari jambo na kushindwa kupata jibu hivyo kukubaliana na hali, kusifia kitu kizuri mfano mchezaji wa yanga anaejua kufunga na kukata cross nyingi, utamu wa mziki, kusifia tako la mwanamke anayepita barabarani, maandalizi ya kubishana akiwa na uhakika wa taarifa, wakati wa kujinyoosha baada ya usingizi wa mchana, kabla ya kutamka neno " haya bwana". Etc.

Mwanaume aliyekamilika anasonya vizuri tu.
Sawa mkuu ila sio mimi
 
Kariri hivyo hivyo kijana.
Nina experience kuliko udhaniavyo,jiulize kwanini nimekubali kumuoa huyo mmbulu??
Malezi mtu anapoishi huchangia sana ukuaji wake wa kitabia.
Pia wanyaturu wana tabaka kama ilivyo kwa wasambaa wa lushoto na korogwe.
Binti kakulia TANGA MWAKIZARO MAJENGO toka akiwa na miaka 4 mpaka anafikisha miaka 19 na mimi namuoa.
Nimemuoa kabinti kadocho sana ambacho kamekulia makuzi ya Tanga.
External environment huwa inayakisi sana malezi ya mtoto,kama una watoto bro nadhani hilo utakua unaelewa kama mzazi.
Bro wambulu nimekaa nao sana kugawa utamu na kupiga gambe ni sehem ya utamaduni wao, japo kweli inawezekana umebahstisha alietulia lakin kiuhalisia hawajatulia
 
Mwanaume unaoa kwa kigezo cha sura na tako katika karne hii, sura na tako vitafanya uumie, upate msongo hadi ufe. Hizo factors mbili zinakuja baada ya kuona uwezo wa mwanamke kuwa mke na mama bora.
Ndio maana hizo kabila zenye sura nzuri, rangi nzuri na mashepu utakuta asilimia kubwa hakuna kitu, akili zimehamia makalioni.
 
Kariri hivyo hivyo kijana.
Nina experience kuliko udhaniavyo,jiulize kwanini nimekubali kumuoa huyo mmbulu??
Malezi mtu anapoishi huchangia sana ukuaji wake wa kitabia.
Pia wanyaturu wana tabaka kama ilivyo kwa wasambaa wa lushoto na korogwe.
Binti kakulia TANGA MWAKIZARO MAJENGO toka akiwa na miaka 4 mpaka anafikisha miaka 19 na mimi namuoa.
Nimemuoa kabinti kadocho sana ambacho kamekulia makuzi ya Tanga.
External environment huwa inayakisi sana malezi ya mtoto,kama una watoto bro nadhani hilo utakua unaelewa kama mzazi.
Hivi mkuu ni ipi tofauti kati ya Wasambaa wa Lushoto na Korogwe!

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Bro wambulu nimekaa nao sana kugawa utamu na kupiga gambe ni sehem ya utamaduni wao, japo kweli inawezekana umebahstisha alietulia lakin kiuhalisia hawajatulia
Mkuu sijakubishia.
Ni kweli wambulu hawajatulia kama usemavyo ila sababu ya mimi kumkubali huyu ni kwasababu amekulia jamii tofauti na mazingira tofauti.
Angelikulia Mbulu Manyara nisingethubutu hata kumsogelea.
Ana makuzi ya Tanga hata nikikuonesha na kusema huyu mbulu waweza kataa ukasema huyu msambaa.
Mpaka tamaduni za kisambaa amebeba.
 
Back
Top Bottom