Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Unaoa mmbulu miksa mnyaturu alafu unasema katulia? We itakua ni wa kuja wewe kaskazini yote inajua tabia ya wambulu na wanyaturu umeolea masela
Kuna mshikaji wangu mmoja kaacha Mmubulu juzi ndoa ina miezi 3. Anasema hataki hata kumuona, ana kila aina ya shida!
 
Kuna mshikaji wangu mmoja kaacha Mmubulu juzi ndoa ina miezi 3. Anasema hataki hata kumuona, ana kila aina ya shida!
No offence kwa wambulu ni wazuri kimuonekano ( hapa wanaume wengi wanaangukia), ila ni wakorofi aisee, sasa kama jama aliolea uzuri ameenda na maji
 
Uko sahihi. Kama ndoa za kiislam, talaka ni kama kumtuma mtoto dukani. Hata wanawake wa hiyo dini huwa wanamchukulia waume zao kama watu baki ambao wanaweza kuwaacha muda wowote. Siyo kama kwenye ukristo hakuna talaka, lakini kuna nafuu.
ina maana wanawake wakiislamu huwa wakiwa kwenye ndoa huwa wanakaa mguu mmoja ndani, mwingine nje?
 
Kuna mshikaji wangu mmoja kaacha Mmubulu juzi ndoa ina miezi 3. Anasema hataki hata kumuona, ana kila aina ya shida!
wambulu sifa zao mbaya, inasemekana wengi pia hawajatulia labda aamue mwenyewe. Inaelekea jamaa kapitia magumu sana.
 
Unaoa mmbulu miksa mnyaturu alafu unasema katulia? We itakua ni wa kuja wewe kaskazini yote inajua tabia ya wambulu na wanyaturu umeolea masela
Kariri hivyo hivyo kijana.
Nina experience kuliko udhaniavyo,jiulize kwanini nimekubali kumuoa huyo mmbulu??
Malezi mtu anapoishi huchangia sana ukuaji wake wa kitabia.
Pia wanyaturu wana tabaka kama ilivyo kwa wasambaa wa lushoto na korogwe.
Binti kakulia TANGA MWAKIZARO MAJENGO toka akiwa na miaka 4 mpaka anafikisha miaka 19 na mimi namuoa.
Nimemuoa kabinti kadocho sana ambacho kamekulia makuzi ya Tanga.
External environment huwa inayakisi sana malezi ya mtoto,kama una watoto bro nadhani hilo utakua unaelewa kama mzazi.
 
wambulu sifa zao mbaya, inasemekana wengi pia hawajatulia labda aamue mwenyewe. Inaelekea jamaa kapitia magumu sana.
Hujakosea wambulu hawajatulia na pia ni kiasi fulani wako offensive.
Ila tizama kakulia wapi mzee.
Halafu at least hiyo jamii ikikulia mazingira tofauti inabadilika.
Sio kama warangi aisee wale popote wanashikilia vya nyumbani.
Unajua jamii mtu anayokulia huwa inachangia kumkuza kimaadili na kimienendo??
 
Uko sahihi. Kama ndoa za kiislam, talaka ni kama kumtuma mtoto dukani. Hata wanawake wa hiyo dini huwa wanamchukulia waume zao kama watu baki ambao wanaweza kuwaacha muda wowote. Siyo kama kwenye ukristo hakuna talaka, lakini kuna nafuu.
Kwenye ukristo talaka ipo,na jambo pekee linalohalalisha talaka ni uasherati,mmoja akifanya uasherati mwenzake ana haki ya kutoa talaka au kumsamehe akitaka Mathayo19:9
 
Yan maisha ya ndoa yana noga sana au yana changanya sana had mwanaume unaanza kusonya ama?
 
No 5 labda kama huna pesa kama unazo utamgeuza uwanja wa ngumi yupo tu akisubiri ufe awe mmiliki halali
 
Back
Top Bottom