macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Siyo zote wanafanya hivyo. Ila rate ya talaka maeneo ya Pwani ni kubwa. Hasara yake ni watoto wasiokuwa na malezi mazuri.Bro mbona unajichanganya mzee!?
Hizi ndoa za kikristo si ndio tunaona wazazi wanaishi kwa kutafutana kama vile paka na panya kiasi wanasalitiana na kutembea nje na wengine kuzalishana nje ya ndoa kisa ndani ya ndoa hakuna amani??
Kheri watu muachane kila mtu atafute amani yake ila sio kushikiliana eti ndoa ya kanisa haivunjwi mwisho wa siku kila mmoja anatafuta amani nje kwa kuzini mpaka anapata mtoto wa nje ya ndoa.
What is the point of that marriage??
Is that a marriage or a circus!??