Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Pia hayo makabila wanawake wao hawajatulia ni gawa gawa sana.
Hivi kuna sehemu yenye harusi na talaka kama mikoa ya Pwani? Mikoa ya Pwani kwa mfano hiki kipindi cha Ramadhani kilipokuwa kinaanza, kulikuwa na ndoa nyingi lakini huu mwaka ukiisha nyingi ya hizo ndoa utakuta zimekufa. Hata wanawake wa Pwani wanaambiwa kabisa uwe na mabwana wengi ili uwe na sehemu nyingi za kukusaidia.
 
Hakuna kabila lililotulia wote ni vocal zako TU.
Nje ya Kristo hakuna utulivu
Uko sahihi. Kama ndoa za kiislam, talaka ni kama kumtuma mtoto dukani. Hata wanawake wa hiyo dini huwa wanamchukulia waume zao kama watu baki ambao wanaweza kuwaacha muda wowote. Siyo kama kwenye ukristo hakuna talaka, lakini kuna nafuu.
 
Mmh hujui unacho andika unafuu uko wapi?
 
Uko sahihi. Kama ndoa za kiislam, talaka ni kama kumtuma mtoto dukani. Hata wanawake wa hiyo dini huwa wanamchukulia waume zao kama watu baki ambao wanaweza kuwaacha muda wowote. Siyo kama kwenye ukristo hakuna talaka, lakini kuna nafuu.
Wanawake wa Kikristo wanasumbua kwenye ndoa kuliko wa kiislam sababu hawana chance ya competition hivyo ujisahau.
Mwanamke wa kiislam ni sawa na mpangaji adabu na tabia yake ndio uhakika wa kudumu kwake kwenye ndoa akicheza TU hana ndoa akionewa huruma ataletewa mke WA pili hivyo ukaa kwa adabu
Hata mahakamani ndoa za Kikristo ndio zinaongoza kwa talaka sababu ya kiburi cha maandiko,ukisaini nae TU cheti huyo ni mume mwenzako mnaanza nivute nikuvute anaacha wajibu wake anataka kuingilia wako.
 
Leo wanyakyusa tumekoswakoswa...daah🥴
Wanyaki nasikia mna kiukorofi hasa mkiolewa na makabila mengine lakini kwenye ndoa mnasifika sana kwa uvumilivu na uchapakazi. Kwa hiyo hii sredi haiwahusu hii!

Mkipenda mmependa, mkitulia mmetulia; na mkiamua kulianzisha mnalianzisha. Mpewe tu maua yenu aisee.

Shughuli pevu hasa iko hapa 👇👇👇. Sitakaa nisahau 🚮🚮🚮

downloadfile-2.jpg
 
Back
Top Bottom