Mwalimu wa Jamii
Senior Member
- Mar 9, 2023
- 162
- 373
Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.
1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga
Mtoa Post yuko sahihi, Mimi nipo Kondoa. Wa Rangi ni Kiboko. Pia usisahau uchawi na UchoyoHizo kasumba tu mkuu.
Pwani yoteeee nimekaa kuanzia Mafia mpaka kuja Bagamoyo mpaka Unguja na Pemba.
Hizo sehemu kuachana ni rahisi kwasababu tatizo kubwa lipo kwa wanaume,wanaume wa pwani ni mtihani sana hata mimi sikushauri binti yako ama dadayo aolewe pwani au visiwani.
Ila wanawake wa pwani wako poa tu.
Hao unaowaelezea hapa ni WAMAKONDE.
Sasa Mtwara sio Pwani kaka.
Vijana wa pwani ndio wana shida sana ndio maana hata visiwani washaanza kushtuka wanaona bora waolewe na Msukuma ama mnyanwezi ama mkurya kuliko mkisiwani mwenzao.
Ila warangi na makabila yalotajwa hapo wahuni sana tembea uone bro.
Hususan warangi kila siku unaweza kuchapiwa na usijue.
Pia wasanii wasanii sana hayo makabila wakiongozwa na mmeru.
Mmeru kiuso ni innocent ilaaa ana matukio ukiyang'amua utaachwa kinywa wazi.
Mmeru anaweza kupita na familia nzima hadi babayo mzazi.
We kaa fananisha Pwani na hayo makabila.