Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Wanawake wa Kikristo wanasumbua kwenye ndoa kuliko wa kiislam sababu hawana chance ya competition hivyo ujisahau.
Mwanamke wa kiislam ni sawa na mpangaji adabu na tabia yake ndio uhakika wa kudumu kwake kwenye ndoa akicheza TU hana ndoa akionewa huruma ataletewa mke WA pili hivyo ukaa kwa adabu
Hata mahakamani ndoa za Kikristo ndio zinaongoza kwa talaka sababu ya kiburi cha maandiko,ukisaini nae TU cheti huyo ni mume mwenzako mnaanza nivute nikuvute anaacha wajibu wake anataka kuingilia wako.
Kuna mawili hapa. Uhakika wa kuendelea kuwa mke vs Wasiwasi wa kuachika muda wowote. Ukweli ni kuwa mwanamke mwenye wasiwasi wa kuachika muda wowote ndiye atakuwa mbaya kwenye ndoa kuliko mwenye uhakika wa kutoachika. Yule anayeweza kuachika muda wowote kwanza hana uhakika kama hataachika hata kama atanyenyekea namna gani. Na mbaya zaidi anaweza kuletewa ''washindani'' wenye kutumia kila aina ya hila muda wowote. Pili ni lazima atakuwa anajitayarisha kuwekeza kwa sababu muda wowote anajua anaweza kuambiwa nenda zako.
 
Hivi kuna sehemu yenye harusi na talaka kama mikoa ya Pwani? Mikoa ya Pwani kwa mfano hiki kipindi cha Ramadhani kilipokuwa kinaanza, kulikuwa na ndoa nyingi lakini huu mwaka ukiisha nyingi ya hizo ndoa utakuta zimekufa. Hata wanawake wa Pwani wanaambiwa kabisa uwe na mabwana wengi ili uwe na sehemu nyingi za kukusaidia.
Hizo kasumba tu mkuu.
Pwani yoteeee nimekaa kuanzia Mafia mpaka kuja Bagamoyo mpaka Unguja na Pemba.
Hizo sehemu kuachana ni rahisi kwasababu tatizo kubwa lipo kwa wanaume,wanaume wa pwani ni mtihani sana hata mimi sikushauri binti yako ama dadayo aolewe pwani au visiwani.
Ila wanawake wa pwani wako poa tu.
Hao unaowaelezea hapa ni WAMAKONDE.
Sasa Mtwara sio Pwani kaka.
Vijana wa pwani ndio wana shida sana ndio maana hata visiwani washaanza kushtuka wanaona bora waolewe na Msukuma ama mnyanwezi ama mkurya kuliko mkisiwani mwenzao.

Ila warangi na makabila yalotajwa hapo wahuni sana tembea uone bro.
Hususan warangi kila siku unaweza kuchapiwa na usijue.
Pia wasanii wasanii sana hayo makabila wakiongozwa na mmeru.
Mmeru kiuso ni innocent ilaaa ana matukio ukiyang'amua utaachwa kinywa wazi.
Mmeru anaweza kupita na familia nzima hadi babayo mzazi.

We kaa fananisha Pwani na hayo makabila.
 
Uko sahihi. Kama ndoa za kiislam, talaka ni kama kumtuma mtoto dukani. Hata wanawake wa hiyo dini huwa wanamchukulia waume zao kama watu baki ambao wanaweza kuwaacha muda wowote. Siyo kama kwenye ukristo hakuna talaka, lakini kuna nafuu.
Bro mbona unajichanganya mzee!?
Hizi ndoa za kikristo si ndio tunaona wazazi wanaishi kwa kutafutana kama vile paka na panya kiasi wanasalitiana na kutembea nje na wengine kuzalishana nje ya ndoa kisa ndani ya ndoa hakuna amani??
Kheri watu muachane kila mtu atafute amani yake ila sio kushikiliana eti ndoa ya kanisa haivunjwi mwisho wa siku kila mmoja anatafuta amani nje kwa kuzini mpaka anapata mtoto wa nje ya ndoa.
What is the point of that marriage??
Is that a marriage or a circus!??
 
Unafuu uko kwenye talaka. Sehemu zenye uislam zina talaka sana kulinganisha na ukristo.
Talaka zinatolewa free tena haraka ila hao wengine wanaishi kwa gubu na wengine wanaoa kabisa.

Rate ya talaka za kuandikishwa pwani ni kubwa ila kwa wanaoachana hao wengine ni kubwa ila wanaishi mbalimbali kwa kifungo cha kukataa talaka...Wengi wakihofia mali kugawanya ila hamna upendo.

Pwani fasta tu mpaka raha wiki ijayo mtu anaoa tena .
 
Hakuna kabila lililotulia wote ni vocal zako TU.
Nje ya Kristo hakuna utulivu
Ndivyo unavyojidanganya hivi??
Kutulia ni hurka ya mtu wala sio kabila,ila kuna makabila ni too much.
Nenda kaoe mrangi kesha urudi hapa utuelezee.
Wapo walio nje ya kristo na wamepata utulivu,wacha kugandisha fuvu.
Machame kristo yupo kwa wingi ila HAKUNA UTULIVU HATA CHEMBE.
 
Back
Top Bottom