macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kuna mawili hapa. Uhakika wa kuendelea kuwa mke vs Wasiwasi wa kuachika muda wowote. Ukweli ni kuwa mwanamke mwenye wasiwasi wa kuachika muda wowote ndiye atakuwa mbaya kwenye ndoa kuliko mwenye uhakika wa kutoachika. Yule anayeweza kuachika muda wowote kwanza hana uhakika kama hataachika hata kama atanyenyekea namna gani. Na mbaya zaidi anaweza kuletewa ''washindani'' wenye kutumia kila aina ya hila muda wowote. Pili ni lazima atakuwa anajitayarisha kuwekeza kwa sababu muda wowote anajua anaweza kuambiwa nenda zako.Wanawake wa Kikristo wanasumbua kwenye ndoa kuliko wa kiislam sababu hawana chance ya competition hivyo ujisahau.
Mwanamke wa kiislam ni sawa na mpangaji adabu na tabia yake ndio uhakika wa kudumu kwake kwenye ndoa akicheza TU hana ndoa akionewa huruma ataletewa mke WA pili hivyo ukaa kwa adabu
Hata mahakamani ndoa za Kikristo ndio zinaongoza kwa talaka sababu ya kiburi cha maandiko,ukisaini nae TU cheti huyo ni mume mwenzako mnaanza nivute nikuvute anaacha wajibu wake anataka kuingilia wako.