Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Kama kapata malezi mazuri siwezi kukubishia hata kidogo, shida ya wambulu malezi yao siyo mazuriMkuu sijakubishia.
Ni kweli wambulu hawajatulia kama usemavyo ila sababu ya mimi kumkubali huyu ni kwasababu amekulia jamii tofauti na mazingira tofauti.
Angelikulia Mbulu Manyara nisingethubutu hata kumsogelea.
Ana makuzi ya Tanga hata nikikuonesha na kusema huyu mbulu waweza kataa ukasema huyu msambaa.
Mpaka tamaduni za kisambaa amebeba.