Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
Sasa chief ukishakaa na jamii lazima kuna mambo lazima utasikia! Kuna mademu wengine friji zao hazigandishi anasimulia jirani ake wa kike huyo jirani yake ni rafiki yako na huyo rafiki yako ana rafiki yake...anasimulia watu hovyo..habari zako unazikuta mtaa wa saba!Ni kawaida kwa jamii za kiafrika.Mambo ya ndani ya ndoa za watu umeyajuaje?
Though mimi sipendi mambo yenye uswahili swahili..sasa kama unasimuliwa inabidi usikilize usimkatishe mtu tamaa anaekusimulia..maana siku anaweza kuletea story kuwa demu/mke wako anachakatwa sehemu ukachukulia poa kumbe ni kweli au yule demu unayegonga ana Umeme ukachukulia poa kumbe vingine vinaweza kukuokoa.